Huu Uzi ulioibua haya yote naukumbuka vyema.. Na ukijaribu kujiuliza kwa lugha nyepesi chanzo cha huyo jamaa kuleta hayo yote ilikuwa ni nini? Na hakuna sehemu alipoulizwa...Wangari alikuwa anachangia kama member wengine kilichomfanya yeye kuandika yote hayo ni kitu gani?
Nadhani ilikuwa ni chuki tu za huyo jamaa.. kaandika mambo kibao kwa Mwanaume anayejielewa asingeweza kuandika au kuleta yote hayo.. Ameonesha kiwango chake cha kufikiri kilivyo..
Binafsi sijawahi kuona shida ya Wangari.?sasa kama anauza au ana mashimo ya dhahabu au hana ilikuwa ni juu yake.. JF inampa uhuru kila mtu kufanya au kujieleza namna anavyotaka ila tu asivunje kanuni..
Ni ME wangapi humu full kujisifia na hakuna mtu anayewa'offend? Kuna ME humu full kupondea gari za Kijapan lakini hakuna mtu anayewanyooshea vidole.. Na sababu hasa ni kuwa JF kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyotaka ila tu asivunje kanuni,taratibu na sheria.
Sasa huyo Dada yeye kama alikuwa anajisifia mambo ya Migodi na vitu kama hivyo..Huyo jamaa na wengineo walikuwa wanapata shida gani? Ifike mahali tupunguze kuumia na mambo ya wengine..
NB.. Hii haikuhusu wewe uliye'repost hii comment Mkuu..
Sent using
Jamii Forums mobile app