Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Huu Uzi ulioibua haya yote naukumbuka vyema.. Na ukijaribu kujiuliza kwa lugha nyepesi chanzo cha huyo jamaa kuleta hayo yote ilikuwa ni nini? Na hakuna sehemu alipoulizwa...Wangari alikuwa anachangia kama member wengine kilichomfanya yeye kuandika yote hayo ni kitu gani?

Nadhani ilikuwa ni chuki tu za huyo jamaa.. kaandika mambo kibao kwa Mwanaume anayejielewa asingeweza kuandika au kuleta yote hayo.. Ameonesha kiwango chake cha kufikiri kilivyo..

Binafsi sijawahi kuona shida ya Wangari.?sasa kama anauza au ana mashimo ya dhahabu au hana ilikuwa ni juu yake.. JF inampa uhuru kila mtu kufanya au kujieleza namna anavyotaka ila tu asivunje kanuni..

Ni ME wangapi humu full kujisifia na hakuna mtu anayewa'offend? Kuna ME humu full kupondea gari za Kijapan lakini hakuna mtu anayewanyooshea vidole.. Na sababu hasa ni kuwa JF kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyotaka ila tu asivunje kanuni,taratibu na sheria.

Sasa huyo Dada yeye kama alikuwa anajisifia mambo ya Migodi na vitu kama hivyo..Huyo jamaa na wengineo walikuwa wanapata shida gani? Ifike mahali tupunguze kuumia na mambo ya wengine..

NB.. Hii haikuhusu wewe uliye'repost hii comment Mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye huo uzi kuna kijana alikuwa analalamika kuna mtu kamchomesha mahindi kwa kumwambia atafute passport then huyo jamaa ampe kazi sijui ya kwenda na mafuso Zambia huko..Kijana akatafuta passport lakini alipofanikiwa kuipata passport yule aliyemuahidi atampa kazi akatokomea kusiko julikana na akawa hapatikani kabisa hewani..

Kijana akaleta uzi wa kulalamika na kushauri watu kuwa kama huna nia ya kumsaidia mtu basi usimtese huku unajua huwezi kumsaidia..Kina Wangari na wengine wakaanza kumnang'a kijana na hapo ndo watu walichukia kwa kuona ni kama anatetea utapeli na kufikia kudhalilishana kama jamaa alivyofanya hapo juu..

And mind you kijana alisema alitumia savings zake zote kupata hiyo passport ambayo haikuja kumsaidia lolote.
 
Nasoma kila reply kwa tafakuri kubwa sana[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827] .. Na kila reply inawakilisha kundi mojawapo ya haya
. Wenye vifua na makoromeo
. Wasio na vifua na makoromeo
. Ma introverts
. Ma extroverts
Halafu na hadhira inayosoma na kukaa kimya
Inayosoma na kuchochea kuni na mafuta
Inayoshadadia na kufurahia haya na mengine yote
Inayoshauri, kuonya na kutahadharisha...

Halafu na wanaoogopa![emoji23]
 
Umeona walivyofukua Makaburi juu yako Mtani?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana..
Na wanaoyaleta wengi ni jinsia ya ME ni mara chache sana KE kuleta mambo kama haya humu..

Kuna huyo mpuuzi mmoja huyo nasikia yeye akishamkula Mwanamke humu akafanikiwa kupata mwingine tena JF kazi aliyonayo ni kumpondea au kuwapondea wote aliokuwa nao kwenye mahusiano..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Kwenye huo uzi kuna kijana alikuwa analalamika kuna mtu kamchomesha mahindi kwa kumwambia atafute passport then huyo jamaa ampe kazi sijui ya kwenda na mafuso Zambia huko..Kijana akatafuta passport lakini alipofanikiwa kuipata passport yule aliyemuahidi atampa kazi akatokomea kusiko julikana na akawa hapatikani kabisa hewani..

Kijana akaleta uzi wa kulalamika na kushauri watu kuwa kama huna nia ya kumsaidia mtu basi usimtese huku unajua huwezi kumsaidia..Kina Wangari na wengine wakaanza kumnang'a kijana na hapo ndo watu walichukia kwa kuona ni kama anatetea utapeli na kufikilia kudhalilishana kama jamaa alivyofanya hapo juu..

And mind you kijana alisema alitumia savings zake zote kupata hiyo passport ambayo haikuja kumsaidia lolote.
Nakumbuka vyema kabisa Darmian..
Na umeeleza vizuri kuwa ni wengi walikuwa wanamnang'a jamaaa..

Jambo la kujiuliza kilichomfanya yeye kuanza kumtolea yote hayo Wangari ni nini? Angeweza kumdhihaki na Issue nyingine.. Ila kuanza kumtolea matukio yake ya nje huku sidhani kama ni sahihi.. Na wakati anaandika hayo yote,Je ni vipi kama Wangari naye angeamua kujibu Mashambulizi au Naye angeamua kumuanika?

Nimpongeze Wangari kuweza kukaa kimya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demis walimlipuaga humu wakaanika picha zake,nadhani ni mwalimu huko dodoma.
Sasa picha zake sura ina pua kubwa" kweri kweri", wana wakawa wanaponda,akaonelea abadili ID ,akajiita muzine,hata hivyo imepoa. Au ana ID nyingine ambayo hatujaigundua.
Eti pua KUBWA kweri kweri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jaman
 
Nakumbuka vyema kabisa Darmian..
Na umeeleza vizuri kuwa ni wengi walikuwa wanamnang'a jamaaa..

Jambo la kujiuliza kilichomfanya yeye kuanza kumtolea yote hayo Wangari ni nini? Angeweza kumdhihaki na Issue nyingine.. Ila kuanza kumtolea matukio yake ya nje huku sidhani kama ni sahihi.. Na wakati anaandika hayo yote,Je ni vipi kama Wangari naye angeamua kujibu Mashambulizi au Naye angeamua kumuanika?

Nimpongeze Wangari kuweza kukaa kimya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo na nje inabidi yaishie nje..the same applies to mambo ya PM..kuyaweka public sio poa na pia JF wako against hiki kitu.
 
Umeona walivyofukua Makaburi juu yako Mtani?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani makaburi yangu yanalindwa na mizimu la sivyo ingekuwa leo hii tunaongea mengine.. Kati ya watu waliowindwa sana JF waangushiwe jumba bovu mimi ni mmojawapo[emoji23]
Kuna baadhi ya matukio huwa nikiyakumbuka[emoji848][emoji2827]Nabaki kusema Mungu asante..![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
ongezea na @manengelo
@manengelo
@mbitiyanza
@mangari wathai
Manengelo, mbitiyanza, mangai waathari ni mtu mmoja anaebadili I'd kila akipata janga humu.
Humu watu wabaya sana aisee!
Ngoja aje na I'd yake nyingine anichambeeee maana binti ana kisirani yule na mjuaji balaa, Ila mpambanaji kwa namna anavyoelezea hustle zake......
 
Inashangaza sana..
Na wanaoyaleta wengi ni jinsia ya ME ni mara chache sana KE kuleta mambo kama haya humu..

Kuna huyo mpuuzi mmoja huyo nasikia yeye akishamkula Mwanamke humu akafanikiwa kupata mwingine tena JF kazi aliyonayo ni kumpondea au kuwapondea wote aliokuwa nao kwenye mahusiano..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mwanaume kamili huyo apuuzwe...
 
Back
Top Bottom