Demiss amepotelea wapi?

Katika wanawake niliokuwa napenda kila siku nisome uzi au comments zake alikuwa mchizi Demiss huyu dada alikuwa na kitu pekee juu ya uwakilishi wa maandishi yake. Niwe mkweli nimemmiss sana huyu dada Demiss la Lara1.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Haaahaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usikute wanapita na kuchangia hapa kwa ID nyingine
We mjanja[emoji38][emoji38][emoji1787]

Kuna mmojwapo kapotea humu na ananangwa kweli kwenye huu uzi sasa cha ajabu kwa ID nyingine kakomenti qoute anayochambwa nayy anajichamba tena vibaya mno[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]

Humu kuna vichaa asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na atafutwe popote alipo. Au katekwa na watu wasiojulikana humu?! Au shem kambana sana?!
 
Witty 🀣🀣🀣🀣🀣

Usinifanye nikarudia upya kusoma comments..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. JF kuna vituko sana
 

Hii ndio JF kuna watu humu hawako timamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chaaa!
Witty[emoji3]

Nakuja pm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nani huyo Shogaaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…