Demiss amepotelea wapi?

Hata wewe Mwanamke uliyekuwa nae kuna watu wanajiuliza umempendea nini umeandika umechakata mbususu kadhaa una shida mahali
 
Kama ni huyo ni kweli alijinyonga akafariki, hata alipokua anaishi nyumba naifahamu.

Japo sikua namfahamu kwa sura ila nilijua ni msiba wake baada ya kusoma ule uzi huku + mazingira ya kifo kule mtaani kwao walivyokuwa wanasimulia nikajua ni yeye.
Wee kumbe n kweli alijinyonga? So [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yeaaah Umomi ndo najua alisemwa amekufa, na ID yake haiko active had Leo.
 
wangari mathai
demiss
Na wengineo wengi tuulizeni sisi wafukunyuzi tuwape ukweli

Au nimeghairi 😁😁
 
Hahaha eti kuwala wanawake wa jf inahitaji moyo[emoji16], kwann sasa mkuu wana sura mbaya au?
Mimi wanawake wa jf huwa nawaogopa nahisi ni wanawake flan hivi wenye maisha mazuri sana na ni wazuri balaa maana I'd zao username &avatar zinapendeza sana kwakweli inanifanya nijione siyo hadhi yao sijawahi kufikiria wala kuwa na ndoto ya kumfata hata mmoja PM naona kuwafata na kuwaimbisha ni kama ndoto ya msukuma toroli kuwaza kumuoa mtoto wa Joe Biden

lla kiukweli mkishapendana mkamalizana huko haipendezi kuja kuanikana japo wengi wao nafikiri huwa wanajitakia wenyewe maana wadada wa jf baadhi yao Wana dharau na maneno machafu balaa anaweza akakuamulia hadi ukashindwa kuelewa yote haya yanatoka wapi? Ndo mwsho wa siku huwa wanaangukia kwa wanao wajua vizuri wanaishia kudhalilishwa.
 
Anayetaka kujua A to Z kuhusu hao vishampula aseme tu usisahau hela ya vocha 😁😁
 
mkuu unayodhani sio kabisa naweza nikakupa na majina ya niliokutana nao humu wanajishaua na wengine wamama walinitongoza kabisa..
Yaani ni cheap sanaa
 
Hamna kiranga wala nini wakikuamulia tu waja!yaani kuomba Mungu tu!
Mbna unanitisha ujue? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wasivyopendwa humu, wataanikwa na picha zao, bora kuwa mpoleeeh tyuuh.
 
Hebu ngoja kwanza. Yani unataka kunithibitishia pasi na shaka kuwa Manengelo ndio Wangari Maathai?

Kama ni kweli basi leo nimeamini mimi ni bonge la fala sana mamamae zangu na robo tatu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yule jamaa aliemlipua siku ile si akapigwa ban ya maisha?
Nakumbuka ilikuwa mwisho wa mwezi demiss akaweka picha akidai anakula mshahara hotelini

Kumbe siku hiyo alikuwa na huyo jamaa pembeni ananyanduliwa
Jamaa akazileta picha full baadae dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…