Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Ila mshana ni penda penda sana sasa yule mwanamke wa kuitwa demiss alimpendea nini, mwanamke alikuwa ana mdomo mchafu mno pia alikuwa akitafuta umaarufu kwa nguvu ila alichokipata hatokuja kusahau.

Maana wadau walitoa hadi za ndani kabisa kwamba kuna watu kadhaa wameruka ukuta kwake, siku ile ndio alitambua umaarufu una madhara yake maana watu walimuamulia wakaja na picha zake kutoka facebook, hapo sasa watu ndio wakamshindilia hasahasa sindano za moto hadi akakimbia ID yake.

Binafsi na uzee wangu huu nimechakata mbususu kadhaa humu ila niwe mkweli asilimia 90% ya wanawake wa humu kuwala inahitaji moyo hizi avatar wanazotumia zinaficha mengi mno na kinachopelekea wao kuliwa ni tamaa zao kwenye pesa, ila kwa kuwa bado wanaendekeza njaa ngoja waliwe tu.

Nimefunga kurasa.
 
Back
Top Bottom