ID inakuwaje ile ile waka
ti mtu alisomeka Espy na sasa ni Habun?
Ni kama mimi nilivyobadili Avatar.
Mwanzo niliweka yangu,sasa nimeweka ya JPM ila ni mimi yuleyule.
Ninaweza kuamua sasahivi nijiite Anne,nitoe hiyo Saint...ID yangu inakuwa ni ile ile na kila kitu changu kinabaki kama kilivyo.
Hata username inabadilika,,
Huyo Habun ni yuleyule ila amebadili tu jina .
Ukiangalia kila kitu chake cha nyuma kipo vilevile kuanzia nyuzi zake na comments zake.
Kubadili ID ni kufungua ID mpya,yaani unajisajili upya.
Yaani unakuwa nazo zaidi ya moja.
Kwa mfano tuseme mimi S Anne,,nimefungua tena ID nyingine yenyewe ni Karma ama Khantwe.
Kubadili jina(username),ID yako inabaki palepale.
Umeona tofauti iliyopo hapo?
Jf ina option ya kubadili Avatar na username.
Mwanzo kubadili username ilibidi mod ahusike lakini sasahivi wametupa huo uhuru sisi member kujibadilishia vyote,,iwe Avatar au username