Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Ni kweli kabisa hayo, ila mimi hua naumia nikiona mwanamke mwenzangu anadhalilishwa hadharani especialy by men, najiskia vibaya na moja kwa moja najua huyo hajafunzwa kwao na hana adabu.

Shida ya baadhi ya wanaume hata humu wakiona mdada umerespond vizuri let's say PM mkachat mawili matatu akakuzoea basi anakuona umekua cheap anaweza kukufanyia lolote sasa wasijue wala wasifikirie kumbe hayo ni mambo ya kawaida katika kusocialize.
Kumbe wengine umekubali kuchat nao huko pm mimi ukanibania Lenie? Hivi mbona sisi wengine hizi bahati hatuna[emoji23][emoji23]
 
Ila Eli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha, Saint Anne mbona hivi lakini? Unataka wanaoijua ID yangu ya zamani waje kunilipua si eti.. we endelea kunichomea utambi tu[emoji23][emoji23]
 
Naanzaje kupotezea pm yako mie jaman😂😂
Nimeshangaa sana, haiwezekani niwe fungu la kukosa kiasi hiki aisee.😂😂😂. Hata ukinitangaza badae potelea mbali, mi hata sijali.
 
Tunajuana na tunakulana humu best sema ukikutana na wa hovyo ndo wanakuumbua wakati we unamumini kama mshikaji wako wa faida
Kumbe kuna kufaidi mema humu? Sasa mbona sisi imekuwa holla enzi na enzi.😂😂hawa wadada nishawajua, wakiona kaumri kamesonga kidogo wanapandisha vioo. Sisi wa age yetu ndio basi tena😋😋😋🤣
 
Kumbe kuna kufaidi mema humu? Sasa mbona sisi imekuwa holla enzi na enzi.[emoji23][emoji23]hawa wadada nishawajua, wakiona kaumri kamesonga kidogo wanapandisha vioo. Sisi wa age yetu ndio basi tena[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787]
Mngejua nyie ndomnaotafutwa humu usingejipromo hivyo,tatizo vitoto vingi ndovinaleta feedback humu baada ya kuonjeshwa mbususu
 
Watu wabaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuta wakakomalia kuwa ni yeye,na yeye hata habari hana[emoji1787]
Ndio kama mimi kuna mtu alishawahi kunifata pm akawa kama anaongea maneno ya mafumbo akinishutumu kuwa na ID mbili, nilimshangaa sana.
Ikabidi niscreenshot ile msg yake nikamtumia mdada mwenye ID yake niliyoshutumiwa nayo akacheka sana. Kumbe na kule pia alimfata pm akamwandikia maneno mabaya hivyo hivyo.
 
Haha, Saint Anne mbona hivi lakini? Unataka wanaoijua ID yangu ya zamani waje kunilipua si eti.. we endelea kunichomea utambi tu[emoji23][emoji23]
[emoji38]
ID ni ileile ila imebadilika tu username.

Eli naona umeamkia hukuhuku[emoji1787][emoji1787]
 
Ndio kama mimi kuna mtu alishawahi kunifata pm akawa kama anaongea maneno ya mafumbo akinishutumu kuwa na ID mbili, nilimshangaa sana.
Ikabidi niscreenshot ile msg yake nikamtumia mdada mwenye ID yake niliyoshutumiwa nayo akacheka sana. Kumbe na kule pia alimfata pm akamwandikia maneno mabaya hivyo hivyo.
Duh[emoji38]
Unaweza amka asubuhi huna hili wala lile,unakuja kuona baadaye umebambikiwa ID[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom