ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kumbe wengine umekubali kuchat nao huko pm mimi ukanibania Lenie? Hivi mbona sisi wengine hizi bahati hatuna[emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa hayo, ila mimi hua naumia nikiona mwanamke mwenzangu anadhalilishwa hadharani especialy by men, najiskia vibaya na moja kwa moja najua huyo hajafunzwa kwao na hana adabu.
Shida ya baadhi ya wanaume hata humu wakiona mdada umerespond vizuri let's say PM mkachat mawili matatu akakuzoea basi anakuona umekua cheap anaweza kukufanyia lolote sasa wasijue wala wasifikirie kumbe hayo ni mambo ya kawaida katika kusocialize.