Demiss amepotelea wapi?

Nilipata ajali simu ikapotea nakumbuka nilikaa mwaka sikuingia JF kurudi ikawa mtiahani pasward sikumbuki ndipo nikaja na Nuzulati sina ninaye mjua nje ya Jf
Pole kwa ajali kipenzi... Naamini hujateguka kiuno.

Kwahiyo JF niko peke yangu? Nihakikishie hata kwa kunidanganya roho yangu ipate kupona
 
Eti kwa lazima[emoji51][emoji3]

Maisha ni magumu sana Kipenzi, Mtu anavyohangaika kutafuta ridhiki mpaka anazulumiwa kuja kulalamika sio kosa.

Binafsi sikupenda jinsi alivyokua anamzodoa yule kaka na nilicomment.

Ila JF kwenye ule uzi kuna watu walifurahi mdada kutolewa siri zake halafu huku wanajifanya kusikitika daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ila yule dada alionywa mda asipende kujikwenza ile uzi nilikuwa nasoma tu commentsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wee babuuh n kiwembe sana ujue?
Hapana... we tafuta sababu nyingine ya kunipiga kibuti, ila usinipe dhambi isiyonihusu.

Nataka kama nikienda motoni basi niende kihalali, sio kwa kupakaziwa.
 
Acha uoga mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Humu wote tunaigiziana maisha. Avatar, tunavyoandika na uhalisia ni tofauti.

Ukimuelewa mtu zama pm chaaap maisha yake mazuri utayajua huko mbele mkishaonana.

Sema tu kaka zetu mnalalamikaga eti sisi tuna sura za ancestors wetu ndo maana hawatufuati hawataki kupoteza muda

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kibaya zaidi mama mzazi unamwambia sina hela afu huku unatuma miamala kwa mchuchu mmoja kwenye namba tatu tofauti. Dhambi inaongezeka zaidi pale unapotuma na ya kutolea kabisa....

Mimi acha nirudi kundini kumbe JF imekuwa kama badoo
Kabla haujarudi nitumie basi na mie niwe wa mwisho, namba ni moja tu muamala ni mmoja....hata usipotuma na tozo mi sina tatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nishaotewa mbna, bado kulipuliwa tyuuh,
Na hiyo siku nahisi JF nzima itafurahi kwa vifijo na nderemo, vile nina damu ya kunguni mbna kitaumana, uwiiiiih
Damu ya kunguni utakua nayo weye!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!!!
 

Ni hivi nyie ndio mnajiumbia kichwani kuwa wanawake humu warembo kama malaika Hiyo dhana mfute Uzuri wa mtu Upo machoni kwa mhusika mi naweza kukuona wewe nikavutiwa sana,lakin mwinginee akakuona akaona we mbayaa na hakutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…