Pm huzion leoHahahaha depal mbona nimenza kukuzimikia
Una uhondo flan amazing!
😂😂😂😂 mi naumiMimi hata uzi sikuona.
Yaani hata sielewi ulihusu nini .
Ona ni jinsi gani nipo kwenye mataa[emoji1787]
Nakuja 😂😂Embu nipiem huko..hivi unajua Niko na Hali gani kukosa ubuyu..😂😂
Chaa!!Mwanamke wa bwana mwenye mguu mzuri
Bora hata wewe unapitwa na uzi wa picha haupo.Alorusha mguu mzuri nani
Siku hizi napitwa
Hebu ukuje unipe ubuyu fulani🤨Unataka kujua nini 😂
Best nakusubiriNiko blocked huko pm[emoji134][emoji134]
Yaan dear huwezi amini nikituma kitu hakiendi na wala sipokei[emoji134][emoji134][emoji848]Mimi tena[emoji1699]
Fungua kwa ajili yangu mara moja[emoji51]
Kuna nyuzi kumbe zilifunguliwa humu na hamsemi[emoji16]Unataka kujua nini [emoji23]
Basi umekosa kitu kizuriiii🤨Yaan dear huwezi amini nikituma kitu hakiendi na wala sipokei[emoji134][emoji134][emoji848]
Dah.. Wacha nishushe silaha chini. Ala moja haikai panga mbili bhana.At your own risk. Ukikutana na mkaka shababi shauri lako
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Sii ndiyo hapoKuna nyuzi kumbe zilifunguliwa humu na hamsemi[emoji16]
😂😂😂Hahahaha depal mbona nimenza kukuzimikia
Una uhondo flan amazing!
😂😂😂😂😂Jamani punguzeni kasi. Ndo kwanzaa nipo ukurasa wa 30 😥
Mno yaani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi naumi
Shoga tuma kwanguBasi umekosa kitu kizuriiii🤨
Nkamu naomba unihadithie na mimi kilichokuwepo kuhusu hii stori mpya.na wewe futa sababu tunasoma hapo bado kupitia ulivyomquote
Sijawahi kukuona kwenye uzi wa Sefika huu ubuyu unatokea kule kwenye uzi nikikutumia utakuwa huelewi🤨Shoga tuma kwangu
Wabaya sana.Sii ndiyo hapo
Binadamu wabaya Sana