Ila kuna vitu mmeandika huko juu nimetoka kapa. Naomba ubuyu dadaHuyu mtu huwa ana busara siku zote, mtu flani mstaarabu....ni mwanaume nijiavyo mie
Vipi hivyo? Nambie kichwa cha habari nikupe daily news 😁😁😁Ila kuna vitu mmeandika huko juu nimetoka kapa. Naomba ubuyu dada
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] InawezekanaWajuzi wa Mambo wanasema ilikuwa ID ya bwana mwenda March 17....
Mmmmh[emoji848][emoji848][emoji849]Wajuzi wa Mambo wanasema ilikuwa ID ya bwana mwenda March 17....
Safi sana yuko humble sanaHuyu mtu huwa ana busara siku zote, mtu flani mstaarabu....ni mwanaume nijiavyo mie
Una namba yake unipe nimsalimie?Safi sana yuko humble sana
Hebu ngoja nifanye kitu nione hapa maana hii si bure [emoji848]...Kisa nin mbona mi nimekutumia imekuja kwako
Poa mkuu uko vizuri sanaNimeogopa na kusikitishwa sana na hiki kilichotokea.Lengo la kujiita tamuuuuu ilikuwa ni nisijulikane ni gender ipi? Ila mie ni ME dada yangu.
Kaka Mshana Jr this is very terrible kwakweli.Wasifunuane hivi.Ujue sijalala mawazooooo.[emoji3][emoji3][emoji3] waache members watoe ya vifuani kaka wapate nafuu niko na Chamdeko hapa imebidi tutafutane leo baada ya kupoteana kitamboView attachment 2017463
Aisee!!Demis walimlipuaga humu wakaanika picha zake,nadhani ni mwalimu huko dodoma.
Sasa picha zake sura ina pua kubwa" kweri kweri", wana wakawa wanaponda,akaonelea abadili ID ,akajiita muzine,hata hivyo imepoa. Au ana ID nyingine ambayo hatujaigundua.
Kama hauna basi
Hahahaha sijawahi kutoka na mrembo yoyote hapa JF trust me.. Yote ni ya chitchat tuu.. Kama yupo mmoja ajitokeze hapaMshana Jr atakuwa amechanjia dawa ya warembo ...huu Uzi umefukunyua warembo... brother Mshana nipo chimbo la warembo leo ninazo za kutosha....dah
Pole bro wala huna kosa labda ulipokosea ni pale uliposepa mwamzoni na kuuacha uzi bila moderator watu wakajiachia.. Kuna vingine naomba nisiseme hapa lakini mada kama hizi zinatufundisha mengi hasa interaction zetu na watu tunaokutana nao na kuwaaminiKaka Mshana Jr this is very terrible kwakweli.Wasifunuane hivi.Ujue sijalala mawazooooo.
Huyu ilikuwaje!!?Lara 1 mi ndo nilimpeperusha JF baada ya kumuanika.
Naomba niweke dau Mshana Jr ....Dadaz njooni Pm mwenye kuprove hiki anakisema mwamba Leo atapata kitita...sitanii Warembo ushahidi unahitajika tafadhali....@Muzine Evelyn Salt ..free money awaiting for uHahahaha sijawahi kutoka na mrembo yoyote hapa JF trust me.. Yote ni ya chitchat tuu.. Kama yupo mmoja ajitokeze hapa
Aiseee noma sanaHuyu ilikuwaje!!?
manake huyu anaonekana ni Mar.......tawi la juu