cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi natak niwe mpambe jaman,Mjukuu unataka kupeleka posa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi natak niwe mpambe jaman,Mjukuu unataka kupeleka posa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subiri ulipuliwe na wee,Tunakulanaaa mnoooo!!!!hivi mnategema jinsia ke na me zikimeet wasitiane?!!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]kwa utakatifu gani sasa?sema balaa linakuja ukiliwa na watoto wa mbwaa....utaomba poo mbona!!wahuni sio watu!!!
Ila kuliwa tunaliwa bwana wee! Sio siri humu watu wazima sote!Nile kibingwa jikatae....!!!iwe kimasihara au ya kupangwa ila mechi zinapigwa..viwanja vyote home and away!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Naona wewe Dada unataka utumalize vijana wa watu humu...ohoooKulana kuendeleee[emoji23][emoji23][emoji23]!!
Kuna uzi niliona kashambuliwa,sema ujasiri anao.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wee nae umo lakini hauvumi!!!!
Hahahahaa. Sema yote yamepita maisha yakaendeleaSio kwamba nilikua na utoto.. Sema nilikua MD5!!
Mbishiiiii , ila nn, ukweli nikwamba Nanyie hampendi ukweli , kile kipindi alikua mnachukia sana mada zangu.
Nakumbuka nilifunguaga Uzi, kwenye ule Uzi nikasema " Hawa ndio wanawake naowakubali JF"
Aiseeee mlikuja mkanishambuliaaaaa balaaa
Kuna ule Uzi, nilikuaga natuma vipi cha vya katuni, naandika najina... Huyu ni Kapeace... Huyu ni Jjes ,huyu nani...
Maninaaa ,mkaja mkauvalia njugu ule Uzi, mlinipondaaaa vibayaaaa ,ndo hizo hizo wiki ,Mbityaza akaliamsha.
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaje navotafutwa JF ili nimwagwe humu mbna had najistukia mie, ujasiri nimezaliwa nao.Kuna uzi niliona kashambuliwa,sema ujasiri anao.
Hahaaa miss namiss vituko vyakeMiss chaga juzi kaposti anadai hajasex tangu Magufuli aingie madarakani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha tyuuh dea, siku yangu ikifka kuna watu watafanya harus na fungate humu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wee nae umo lakini hauvumi!!!!
Alooooo sio mchezo... kiuhalisia anaonekana mdogo ilaa balaa lake utalijua ukiingia 18 zake anakupa huku anatabasamu mwenyewe wala haudhiki ..Kuna uzi niliona kashambuliwa,sema ujasiri anao.
Tunamtafuta Cha mdeko tumemmis sana asee! Hujamwona huko???Naona wewe Dada unataka utumalize vijana wa watu humu...ohooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] furaha tupu yaan.Alooooo sio mchezo... kiuhalisia anaonekana mdogo ilaa balaa lake utalijua ukiingia 18 zake anakupa huku anatabasamu mwenyewe wala haudhiki ..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]acha kabisaa nshawahi tishwa PM siku moja wee..nilidinda balaa nilimjambishaa....mpk Leo anajua miye kichwa kibovu...hata ikitokea poa tu life litasonga...ila mi najitahidi kufahamiana na watu makini humu...wanaojielewa kiukweli they r good people nawaomba mpk vocha za jero[emoji3][emoji3][emoji3]na wanatoa na siwezi kuishi nimefulia wakati washkaji wapo humu...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subiri ulipuliwe na wee,
Huu Uzi ulioibua haya yote naukumbuka vyema.. Na ukijaribu kujiuliza kwa lugha nyepesi chanzo cha huyo jamaa kuleta hayo yote ilikuwa ni nini? Na hakuna sehemu alipoulizwa...Wangari alikuwa anachangia kama member wengine kilichomfanya yeye kuandika yote hayo ni kitu gani?
Nadhani ilikuwa ni chuki tu za huyo jamaa.. kaandika mambo kibao kwa Mwanaume anayejielewa asingeweza kuandika au kuleta yote hayo.. Ameonesha kiwango chake cha kufikiri kilivyo..
Binafsi sijawahi kuona shida ya Wangari.?sasa kama anauza au ana mashimo ya dhahabu au hana ilikuwa ni juu yake.. JF inampa uhuru kila mtu kufanya au kujieleza namna anavyotaka ila tu asivunje kanuni..
Ni ME wangapi humu full kujisifia na hakuna mtu anayewa'offend? Kuna ME humu full kupondea gari za Kijapan lakini hakuna mtu anayewanyooshea vidole.. Na sababu hasa ni kuwa JF kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyotaka ila tu asivunje kanuni,taratibu na sheria.
Sasa huyo Dada yeye kama alikuwa anajisifia mambo ya Migodi na vitu kama hivyo..Huyo jamaa na wengineo walikuwa wanapata shida gani? Ifike mahali tupunguze kuumia na mambo ya wengine..
NB.. Hii haikuhusu wewe uliye'repost hii comment Mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujinga wa baadhi ya watu yaani wana utoto mwingi sana!Nyie wanawake kwan mna shida ?? Hata hamna shida.
Shida iko upande wapili
Yaan MTU kula mbususu ya MwanaJF ,anaona kala mbususu ya Sayari ya Mars ,kiasi kwamba , atawashwa washwa weeee, atafute lakuja nalo ,ili mradi aonekane naye kala MZIGO humu.
Kwa mpalangee...au kwa abiola?![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]Pakitajwa Buza nibip....[emoji17]
Chuma alichompiga nacho hiki hapa.
_____
comment yangu,sijataja mtu,ila umejishitukia kuwa hizo ndiyo tabia zako,sasa ngoja nikupe ushaidi!
Wewe binti ni mtu wa ajabu sana! Nikianza kukuanika upuuzi wako hapa tunaweza kukesha!
Mimi nakujua kupitia kwa rafiki yangu mmoja hivi yuko dsm! Mara ya kwanza kabisa mlikutana morogoro sehemu moja inaitwa 88,mara ya pili mlikutana kibaha,mara ya tatu dsm! Huyo jamaa ni polisi lakini ana kazi nyingine, ana gari nyeusi aina ya Kluger, Na alikua anakufatilia kuhusu upuuzi wako wakuitukana serikali,na walipoona your not a threat walikuacha tu! Tena mara ya kwanza walikuita kule nane nane,kwenye majengo ya ufichoni sana,bila kujua na wewe ukaenda kweli! Jamaa alikufirimba na mwisho wa siku,akakuuliza gari umeacha wapi,mara ohh sijui gari imeisha mafuta nimeacha sehemu furani!
Basi yule bwana alipokuona huna maana alikuacha,akampa rafiki yake number zako,wewe si ulikua unatumia line ya tigo ya 0713 inaishia na 96?? Yule jamaa alikupigia simu,mkaongea then ukaomba nauli utumiwe kwamba ukimaliza kufua,utaenda,ukala pesa za watu bila hata ya kwenda! Ukaomba pesa za birthday ya mtoto wako! Ukatumiwa! Leo hii unaleta shobo hapa!
Kila siku unajifanya una maisha ya maana,kumbe choka mbaya tu,unashindwa kulipa hadi pesa za house girl wako,nyumba unaishi hata haijaisha,ndoa yako migogoro kila siku,shule hukumaliza,ulipigwa mimba,huyo kaka alikuacha sababu ya vituko vyako!
Eti nina mashimo ya migodi kakola! Hivi huoni hata aibu kudanganya,watu walishaanza kufatilia nyendo zako toka zamani,huna cha mashimo wala nini,Baba yako alikupa pesa ili walau mtoto wake usipate shida mjini,ukaenda kununua hivyo vifusi vya mchanga huko mgodini,uwe unasaga mawe, biashara haikuenda vizuri,mkafunga na hamkupata pesa hata kidogo,ULIVYO WA HOVYO,ukaenda kudanga kwa jamaa mmoja siwezi mtaja jina,naye biashara ikabuma,ukarudi nyumbani huna hata mia!!
Jamaa yangu juzi kakuona pale stand msamvu,huna mbele wala nyuma! Halafu eti unajitia fyoko fyoko hapa! Huna lolote wapige kamba wasiokujua! Na sasa hivi una number ya Airtel na halotel! Mme wako alishakufumania mara kibao,alishawahi kukupiga nusura ufe! Hebu acha shobo tukutunzie heshima yako! Watu walishaenda hadi kwenu ifakara kwa baba yako Mzee Ben! Naomba niishie hapa!
Na Wale vuguvugu pia nivema tukajuana ilaa sisi ndo tutachomwa moto mpaka kushoto hatupo kulia hatupo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo si ndiyo waungwana wanaita kutishiana nyau?
Kwenye hili tunaosimama na Wangari Maathai tujuane.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani nilikula ban 3months takatifu nakumbuka ilikua inaisha 3rd November of that year...[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]namfata shunie ananipa pole akanipa namba ya Max,wasap Melo ananiuliza unataka iishe lini[emoji3][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]!!!!namuambia leo hii anajibua hayaa...akantoa kwenye mabano[emoji2][emoji2][emoji1][emoji28][emoji28]sina hamu..halafu Vladmir akaka nje mda kidogo ya jf kwa ban...!!!Sema mimi matusi nahisi ndo yaliniponya maana kutukanana siwezi
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, kna watu wako vzuri humu wee acha tyuuh, kna some body iv aaah najuta why nilizinguan nae, yuko poaa mno, na alinielewa na kunikubali, kanisave sana, nmemiss miamala yake kwa kweli,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]acha kabisaa nshawahi tishwa PM siku moja wee..nilidinda balaa nilimjambishaa....mpk Leo anajua miye kichwa kibovu...hata ikitokea poa tu life litasonga...ila mi najitahidi kufahamiana na watu makini humu...wanaojielewa kiukweli they r good people nawaomba mpk vocha za jero[emoji3][emoji3][emoji3]na wanatoa na siwezi kuishi nimefulia wakati washkaji wapo humu...!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app