Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani nilikula ban 3months takatifu nakumbuka ilikua inaisha 3rd November of that year...[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]namfata shunie ananipa pole akanipa namba ya Max,wasap Melo ananiuliza unataka iishe lini[emoji3][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]!!!!namuambia leo hii anajibua hayaa...akantoa kwenye mabano[emoji2][emoji2][emoji1][emoji28][emoji28]sina hamu..halafu Vladmir akaka nje mda kidogo ya jf kwa ban...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] naomba no ya melo PM, plz maana modes wanavonifanyia hapan kwa kweli. Nipo seriouz shostie.
 
Na Wale viguvugu pia nivema tukajuana ilaa sisi ndo tutachomwa moto mpaka kushoto hatupo kulia hatupo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii dunia uhuru ni jambo la msingi sana kwa watu wazima.

Privacy? Si ndiyo maana Tigo wanaisoma namba?

Bottom line hayupo mwenye mamlaka juu ya mwingine.

Wangari Maathai popote pale ulipo: "you have to stand your ground."
 
Uko sahihi 100%, kama mimi kazi yangu inanikaba sipati pa kupumulia, sina pa kupata mbususu zaidi ya humu na walahi nitaoa humuhumu, sema tusitiriane jaman,mambo ya faragha tuyaache faraghani mazee.
Uko sahihi ya faragha yaishie faragha jamani...!!looh!kuhusu kuoa mbona watu wanaona humu!kuna kapo naijua wako almost 13 years now ni product ya jf tena ni watz wenzetu!!!Mungu ndo anajua mwenza wampata wapii!!!humu kuna watu wamezaa humu wako pamoja wengine wameachana n.k!!bahati mbaya ukikutana na jini mkata kamba

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, kna watu wako vzuri humu wee acha tyuuh, kna some body iv aaah najuta why nilizinguan nae, yuko poaa mno, na alinielewa na kunikubali, kanisave sana, nmemiss miamala yake kwa kweli,

JF 4 life, tusubiri kulipuliwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bwana nawaza mashosti zangu wako jf then hawajui km Mimi ndo nshalipuliwa sasa[emoji2][emoji1][emoji1]shida ntaonekana mbea wa siri za watu looohh!
Mungu nistiri miyee!!![emoji16][emoji16][emoji16]sasa kwenye miamala ikianza namie usinisahau dogoo!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naomba no ya melo PM, plz maana modes wanavonifanyia hapan kwa kweli. Nipo seriouz shostie.
[emoji16][emoji16][emoji16]afu sina tena ujue sikusave kwenye google...muambie@mzigua90 akupe...!!ningekupa shoo!!yaani max ana huruma sana ujue...then bonge la muungwana yaani acha kabisa ban miezi 3 sijaka hata 24 hrs[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ila nimeacha matusi thiku hidhiii!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mmekua mthtaaaraabu..

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi ya faragha yaishie faragha jamani...!!looh!kuhusu kuoa mbona watu wanaona humu!kuna kapo naijua wako almost 13 years now ni product ya jf tena ni watz wenzetu!!!Mungu ndo anajua mwenza wampata wapii!!!humu kuna watu wamezaa humu wako pamoja wengine wameachana n.k!!bahati mbaya ukikutana na jini mkata kamba

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye wakata kamba nakazia,hao ndio wapo wengi kwa kweli,wanaturudisha nyuma kwa namna flani ila no sweat tutafika kibishi hata kama tutakua tumechoka.
 
Humu ndani ni ku lay low tu kama una Moyo mdogo,
Mambo ya Umaarufu tuwaachie Celebrities wa Bongo, maana wao washazoea michambo na mitusi kwa Watanganyika....

Yote kwa Yote tabia za kinyanyasaji na utapeli hazitafumbiwa macho.
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Nimeishia komenti ya 1399 ntaendelea tumoro!!
 
Back
Top Bottom