Demiss amepotelea wapi?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]umenza eehh!!!
Shunie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaah umeanza uliniota ndotoni eenh yaani baba ango ako na sura ngumu ya kiume ndio kanifanania kwa kila kitu ila namshukuru sana
Kuna kina Baba wapo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
hao wengine wakishagawa mbususu kimasihala wanaamua kubadili id ili wasitambulike, kuna mwingine kama lala1 sijui aliendaga wapi alikua aanatuleteaga mastori ya mujini kama marehemu warumi r.i.p
 
Duuh huu uzi nimesoma mwanzo hadi mwisho. Kumbe 2018 yalitokea mengi daaah niliumwa nusu kufa sikuingia humu mwaka mzima.Ila Wangari ni soldier yamepita atarecover fresh kbs.
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…