Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

aaah mods walifuta uzi, kiufupi tu kuna mdau aliweka vyote hapa kuhusu bibie, utapeli, uuzaji 'kipochi manyonya' na kusingizia ana 'mgodi' sjui, na kadhalika
Daah nlikuaga najua manengelo ni dem fln classy sana na zile pigo za uuzaji madini alizokua nazo ni balaa, Af Kona za machimboni alikua anazijua kweli kama vle alishawahi kuhusika na hizo mambo
 
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee.

Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu.


Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje? Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.

Wengine waliopotea humu ni;
1. massai dada
2. mama facebook
n.k

Wapo kivingine; usiwe na wasiwasi! Mfano mimi ndo Mama facebook
 
Back
Top Bottom