Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Mnampa kichwa,mwambieni aweke upuuzi wake labda atakua relieved, haiwezekani humjui mtu,hakujui unakasirika na uandishi wake.... ni upumbavuMzee siku hizi umevurugwa...
Kausha,kausha jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnampa kichwa,mwambieni aweke upuuzi wake labda atakua relieved, haiwezekani humjui mtu,hakujui unakasirika na uandishi wake.... ni upumbavuMzee siku hizi umevurugwa...
Kausha,kausha jamaa.
Dada nikupendae naomba kama huko uliko ni usiku fanya kulala Jamani..mengine yanaepukikaMnampa kichwa,mwambieni aweke upuuzi wake labda atakua relieved, haiwezekani humjui mtu,hakujui unakasirika na uandishi wake.... ni upumbavu
🤣🤣🤣🤣 kumbe ndio kipindi kile alipotea mazima, nakumbuka ile siku alihangaika sana yaan uzi ulikua na ID's kama 4 zote mpya zake zinamtetea. Ila hapo kwa ID ya bibi kizee ndio alibugi nikajua huyu utapeli hawezi maana kichwani hamna kitu.Alipoteana baada ya jopo likiongozwa na kubwa la maadui Ndizi mshale kumkamata. Kwanza kabisa mimi nilikuwa nishamkataa, tangu pale aliposema yuko club sijui kabambia mtoto wa kizungu kamuelewa ila akatokea Kiranga anayeijua Ulaya mwenyewe sasa, akamuuliza umeenda club gani wakati Switzerland ina lockdown kama wiki sasa? Hapo shutma za watu kuwa Parabora anaonewa wivu wengine walio nje hawatoi connection.
Siku chache baadae Ndizi mshale akaja na uzi wa kumuumbua. Parabora akaja na ID yake ya 'mmama mtu mzima' aliyedai Parabora kamsaidia mwanae akasome nje. Akatokea member nadhani ni Makaveli akaonyesha ufanano wa ID zile na kitu kizito kikamdondokea Parabora kichwani.
JF wanapenda uwe muongo na utaje vitu kirahisi watakushabikia
Na wewe unataka ufanye alilo fanya mwenzio? Mkinyimwa mbunye si mtulie tu wanaume hatuna hizi itikadi eti au niweke hapa na ukisha weka utalipwa nini?Seems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).
You do a lot of bs, you've got an attitude na kujiona kuwa you are very clever and you can outwit others. Mbaya all of these times unafanya your bs you end up proving yourself to be an absolute ah.
Remember the last time you fucked up? Juzi juzi tu hapa last month. Remember? Au niweke hapa?
Hapo ndio kina Behaviourist na Bujibuji watakuchekesha mpaka ulie. Wanakuwa na memes zao za matukio, mtu akitoa boko wanatupia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ndio kipindi kile alipotea mazima, nakumbuka ile siku alihangaika sana yaan uzi ulikua na ID's kama 4 zote mpya zake zinamtetea. Ila hapo kwa ID ya bibi kizee ndio alibugi nikajua huyu utapeli hawezi maana kichwani hamna kitu.
Uzi wa Ndizi mshale ulikimbizaaa af sijui ukapotelea wapi au mods waliufuta, nakumbuka ulikua na vichekesho vingi sana
Naam iwake tu..... Mpuuzi mmoja huyo asikupe preshaWEKA HAPA, mbona umenyamaza??? Mpuuzi tu wewe..
Ule uzi niliupenda sana, ulikua unatoa stress zote kwa kichekoHapo ndio kina Behaviourist na Bujibuji watakuchekesha mpaka ulie. Wanakuwa na memes zao za matukio, mtu akitoa boko wanatupia
Jilalie tu youngsisy....humu si shwari leoMambo mazito sana humu ndani 🙆♀️
Ngoja nilale tu
Naomba nikufahamu😂😂Aiseee, tangu nimeijua JF na watu wake nimejifunza kukaa kimya. Nimegundua humu unafiki uko mwingi sana, leo mtu anasifiwa kuwa anajua vitu vingi kesho anapondwa kuwa anapenda kujifanya anajua kila kitu.
Nashukuru Mungu nimepunguza mazoea, na kufahamiana na watu humu. Yaani mtu hata niwe namkubali kiasi gani hata pm simfuati, na hata yeye akinifuata tufahamiane namkatalia tutakutana huku huku jukwaani tu.
VizuriYalishapita na tuliombana msamaha... ila hana spidi kama aliyokua nayo mwanzo.
Amekuja nimemwona.... yupo teleSifahamu kwakweli
Ana kisirani sana yule aisee![emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]we nae
Ukute ndio ajira yake hiyo ushilawadu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji91][emoji91]
Unaweza kijiuliza mtu mda wa kupata ridhiki anaupata saa ngapi[emoji848]
Mhhh ..naona hali imechafuka leo sisyJilalie tu youngsisy....humu si shwari leo
We sugu una ngozi ya kengeMnanichamba weeee!! Nimo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !!!!
Aliwaingiza King tu huyo wangari wenu...witty unamkumbuka yule mwamba aliyejiua?? wangari aliplay part kubwa sana kuhusu yule jamaa mpaka mwishoni akakata tamaaa jamaa akajiua
Funika kombe.Mnampa kichwa,mwambieni aweke upuuzi wake labda atakua relieved, haiwezekani humjui mtu,hakujui unakasirika na uandishi wake.... ni upumbavu