Mkuu kwanza kabisa I took no pleasure in it, nilisoma na kuipuuza maana havinihusu.
Ya pm au nje ya Pm yabaki hukohuko haitakuja kutokea mimi kuanika mtu na nimepatana na wengi tu humu.
Kikubwa ni kwamba Kama una maisa yako ishi maisha yako huko uliko sio uje kujianika humu.
Stay low don't bunk to the guys to have spotlight and attention.
Kama angekua anafanya yake kimya kimya asingekutwa na yaliyo mkuta, kosa kubwa alilolifaya hua ana tabia ya Ku-Attack watu humu. Ndio maana anguko lake lilifurahiwa na wengi.
Again; Stay low, if you build in silence your enemy won't know where to attack