reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Wanaadamu wanafiki sana...na maisha bila unaafiki hayaendi Mimi ule Uzi niliona but nlipotezea kumbe ndo ulienda halijojo huko mbele!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!!Maisha ni magumu sana Kipenzi, Mtu anavyohangaika kutafuta ridhiki mpaka anazulumiwa kuja kulalamika sio kosa.
Binafsi sikupenda jinsi alivyokua anamzodoa yule kaka na nilicomment.
Ila JF kwenye ule uzi kuna watu walifurahi mdada kutolewa siri zake halafu huku wanajifanya kusikitika daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app