Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Kweli umetuchamba hivii Na wewe badala ututeteee
Mrembo wangu, wewe hata ikitokea nimelala na wewe siwezi kuja kukuanika humu una nidhamu sana. Ila kuna wale wadada wanaojiona wao ndio wao hao watu wana mafile yao mengi tu, sema wameyamezea tu.
 
yule jamaa aliemlipua siku ile si akapigwa ban ya maisha?
Nakumbuka ilikuwa mwisho wa mwezi demiss akaweka picha akidai anakula mshahara hotelini

Kumbe siku hiyo alikuwa na huyo jamaa pembeni ananyanduliwa
Jamaa akazileta picha full baadae dah
Nimekutana nao baadhi wana msongo wa mawazo, halafu kuna siku konda msafi alifungua uzi kumzungumzia mdada aliyelala nae kutoka humu JF ule uzi ulifutwa na mods, aliwaelezea vyema kabisa asilimia kubwa wako vile. Ukikutana nao mb.oo inaaweza isisimame 😄 ama ukapata stroke ya ghafla
 
Siku hizi kwenye mapenzi lazima mpigane picha duh? Wadada wanajisahau kwa urekodiwe? Pia sio busara kumdhalilisha maana ndugu zake na watoto zake wanapata aibu bila sababu yeyote
 
Mrembo wangu, wewe hata ikitokea nimelala na wewe siwezi kuja kukuanika humu una nidhamu sana. Ila kuna wale wadada wanaojiona wao ndio wao hao watu wana mafile yao mengi tu, sema wameyamezea tu.
Halaf ukakataa kuniambia ile inshu sawa
 
Nimekutana nao baadhi wana msongo wa mawazo, halafu kuna siku konda msafi alifungua uzi kumzungumzia mdada aliyelala nae kutoka humu JF ule uzi ulifutwa na mods, aliwaelezea vyema kabisa asilimia kubwa wako vile. Ukikutana nao mb.oo inaaweza isisimame 😄 ama ukapata stroke ya ghafla
Ila wanaume wa humu wapo vizuri sana au wanavutia mno??
 
Back
Top Bottom