Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Me nilikuwa naye SAMBAMBA nikaingizwa na mie nikachambwaa na Uzi juu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nilimwambia we tukana tu ila usitegemee nitakimbya

ia hii Id.

Sahivi mjamaa tunakwotiana fresh 'alibadili id sijui anajua hajulikani ๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Yaani sasa hata Mwanamke humu akianzishiwa uzi hakuna kubadili Iโ€™d ukauzu mwanzo mwisho
 
Wacha tusubiri tuone !!!

Na mnavyojua Kuongea..

Hiyo siku mtatuua.

Ewe Bidada, uliyefanikiwa kuniona ,tukajuana..

Nipo chini ya miguu yako , Mimi ni mweusii tiii, mbwemba, Mbaya wa sura .

Nikiwa natembea kwambali unaweza ona ni "Kamzimu kanakuja".

Tafadhali, usije kunimwaga humu.
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji6][emoji16][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kuna Bidada humu , Rafiki anguu....

Si akaingizwa king na Dreva wa wa hizi gari za STL .

Ilibakia kidogo aliweee, ila Jamaa alimpiga Bidada mizinga ya kutosha.[emoji23][emoji23][emoji23]

Bidada kwao wana mpunga !!!.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ maskiniiii

Yan humu ndani ni 'play at your own risk.
 
Haswaa.......

Mimi iliwahi nikuta hiii, kupitia huyu Bidada .... Waangari maathai a.k.a Manengelo ...a.k.a Mbityaza ,kabla ,akijiita Mrs Air.

Wakat huo najiita Vladmirovich Putin

mambo yakawa motoo mpaka kuweka miadi ya Kuzaa mtoto wakike , wakati huo akiishi Jiran na Dar.
Ila baada ya muda, tulipishana Kwa mambo Fulani ivi ambayo AKILI YANGU Ilishtuka.

Ebwanaaaa nikaja kupishana naye kwenye UZI mmoja hivi.....

Demu alinitapikiaa, demu akaanza kunichomeaaa maneno, mashost zake wakaunganaaa wee kunishambuliaaaa
BAD THING akaamua kutumia KILE alichokijua Kwa wakat ule wa motomoto , kunihukumu humu JF.

NikamPM...plz achaaa...wapiii

Plz...achaaa.....wapiiiiiiiii

Plz ..acha....wapiii..

Plzz sio vzuri kuandika hayooo..wapiiii

Weee akaungana na Mashost zake , mashambulizi yakawa ya makombora ya masafa marefuu..

UONGOO akaufanya ukawa mwingiii juuu yangu..

Kuna njemba ziko kama wanawake nazo zikashabikiaaa...

DEMU AKAANZA KUTOA DETAILS ZA NDANI NDANI KABISA...

NILIPOONA UONGO NA UCHAFUZI UNAZIDI...

NIKAAMUA KUPIGA SCREENSHOTS PM, NIKAZIMWAGA WAZIIIIIII

ILI WATU WAJUE ,NANI MKWELI .... ( HILI JAMBO NILILITENDA NA SIKUWAHI KABISA KUJUTIA )
NDIO MAANA SIKUBADILI ID YANGU WALA SIKUKIMBIA .

IKAWA MWISHO !!!!

[emoji101][emoji101][emoji101] BAHAT MBAYA, ALIYEZOEA KUNYONGA, KUCHINJA HAWEZI...... ALIKUJA KUJICHANGANYA KWA WAHUNI...WAHUNI,WASOTAKA UJINGAAA ,WAKAMFANYA MABAYA, NAO WAKAMWAGAAA.....
Aiseee
 
We mjanja[emoji38][emoji38][emoji1787]

Kuna mmojwapo kapotea humu na ananangwa kweli kwenye huu uzi sasa cha ajabu kwa ID nyingine kakomenti qoute anayochambwa nayy anajichamba tena vibaya mno[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]

Humu kuna vichaa asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeeeeeeeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Haswaa.......

Mimi iliwahi nikuta hiii, kupitia huyu Bidada .... Waangari maathai a.k.a Manengelo ...a.k.a Mbityaza ,kabla ,akijiita Mrs Air.

Wakat huo najiita Vladmirovich Putin

mambo yakawa motoo mpaka kuweka miadi ya Kuzaa mtoto wakike , wakati huo akiishi Jiran na Dar.
Ila baada ya muda, tulipishana Kwa mambo Fulani ivi ambayo AKILI YANGU Ilishtuka.

Ebwanaaaa nikaja kupishana naye kwenye UZI mmoja hivi.....

Demu alinitapikiaa, demu akaanza kunichomeaaa maneno, mashost zake wakaunganaaa wee kunishambuliaaaa
BAD THING akaamua kutumia KILE alichokijua Kwa wakat ule wa motomoto , kunihukumu humu JF.

NikamPM...plz achaaa...wapiii

Plz...achaaa.....wapiiiiiiiii

Plz ..acha....wapiii..

Plzz sio vzuri kuandika hayooo..wapiiii

Weee akaungana na Mashost zake , mashambulizi yakawa ya makombora ya masafa marefuu..

UONGOO akaufanya ukawa mwingiii juuu yangu..

Kuna njemba ziko kama wanawake nazo zikashabikiaaa...

DEMU AKAANZA KUTOA DETAILS ZA NDANI NDANI KABISA...

NILIPOONA UONGO NA UCHAFUZI UNAZIDI...

NIKAAMUA KUPIGA SCREENSHOTS PM, NIKAZIMWAGA WAZIIIIIII

ILI WATU WAJUE ,NANI MKWELI .... ( HILI JAMBO NILILITENDA NA SIKUWAHI KABISA KUJUTIA )
NDIO MAANA SIKUBADILI ID YANGU WALA SIKUKIMBIA .

IKAWA MWISHO !!!!

[emoji101][emoji101][emoji101] BAHAT MBAYA, ALIYEZOEA KUNYONGA, KUCHINJA HAWEZI...... ALIKUJA KUJICHANGANYA KWA WAHUNI...WAHUNI,WASOTAKA UJINGAAA ,WAKAMFANYA MABAYA, NAO WAKAMWAGAAA.....
Mzee unaupiga mwingi.
 
Katika wanawake niliokuwa napenda kila siku nisome uzi au comments zake alikuwa mchizi Demiss huyu dada alikuwa na kitu pekee juu ya uwakilishi wa maandishi yake. Niwe mkweli nimemmiss sana huyu dada Demiss la Lara1.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Endelea kupenda nyuzi zake Demiss yupo humu mkuu
 
Back
Top Bottom