Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh kitaumana, af usiowategemea ndo wanao haribu, kuwa mpolee usiogope.
Kwa wadada hayupo wote wazungu labda wanchomeshe kwa wengine kwa wakak nnaowajua wale wababa waungwana may be vijana na sidhani anyway tuombe Mungu[emoji2][emoji2][emoji2]!!mi ntakufa kwa presha mjue sitanii

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji3]nakumbuka tena baada ya kumuexpose ndo akaanza tumia jina jipya...!!nilikula ban nzuuri that day tulikushambulia bwanaa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]sisahau aseeeh...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

Namim nikiwemo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carlos alikuwaa anatuudhi jamani [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekubamba tayar, na nlijua tyuuh wee n Geni, au ile nyngne inaanzia na hilo hapo ila iwe "a" katkat........., hahaha nlkumuc sana dea.

Sjawah kukosea kuhisi. Weuweeeeeeh
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]unanifananisha dyadyaa....mi mtu mpya bwana weeeh!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we fala Sana'a....ntoe kwa I'd hii hii...

Kwani hua tunawajua baasi!! Wanakuambia sura sio moyo...!ukijichanganya tu umetoa kimasiharaa kesho wanakublast!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sometimes inategemea na wewe ilikuwaje ukatoa au kama unajitangaza sana wanaume watataka waone maajabu uliyonayo wakiyakosa ndiyo hivyo matangazo utakumbana nayo
 
Mlifanyana nini mpaka akutishie hivyo?
Alitaka tena [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1] nikakataa...mi nkishatema nimetema mkwe...!!!!sirudi nyumaa mda huo Niko kwenye peak ya love chaaa...!ila nilikua nawaza mwenzio weeeh!alijua kuniwazisha Mimi!!sisahau yaani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Humu ndani ni ku lay low tu kama una Moyo mdogo,
Mambo ya Umaarufu tuwaachie Celebrities wa Bongo, maana wao washazoea michambo na mitusi kwa Watanganyika....

Yote kwa Yote tabia za kinyanyasaji na utapeli hazitafumbiwa macho.

Kweli Kweli.
Umaarufu una gharama zake.
 
Sometimes inategemea na wewe ilikuwaje ukatoa au kama unajitangaza sana wanaume watataka waone maajabu uliyonayo wakiyakosa ndiyo hivyo matangazo utakumbana nayo
Aahh!bwana wee haijalishi...mwenye lake hachagui sababu broo...nakuambia halafu tujifunze kuvumiliana jamani!hakuna mkamilifu ktk ardhi....!!
Ila ni kuvumiliana tu ndo mpango mzima kama ikitokea mtu kanilipua sawa ntashukuru Mungu ntakuwa sina namna!i

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom