Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Huu Uzi ulioibua haya yote naukumbuka vyema.. Na ukijaribu kujiuliza kwa lugha nyepesi chanzo cha huyo jamaa kuleta hayo yote ilikuwa ni nini? Na hakuna sehemu alipoulizwa...Wangari alikuwa anachangia kama member wengine kilichomfanya yeye kuandika yote hayo ni kitu gani?

Nadhani ilikuwa ni chuki tu za huyo jamaa.. kaandika mambo kibao kwa Mwanaume anayejielewa asingeweza kuandika au kuleta yote hayo.. Ameonesha kiwango chake cha kufikiri kilivyo..

Binafsi sijawahi kuona shida ya Wangari.?sasa kama anauza au ana mashimo ya dhahabu au hana ilikuwa ni juu yake.. JF inampa uhuru kila mtu kufanya au kujieleza namna anavyotaka ila tu asivunje kanuni..

Ni ME wangapi humu full kujisifia na hakuna mtu anayewa'offend? Kuna ME humu full kupondea gari za Kijapan lakini hakuna mtu anayewanyooshea vidole.. Na sababu hasa ni kuwa JF kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyotaka ila tu asivunje kanuni,taratibu na sheria.

Sasa huyo Dada yeye kama alikuwa anajisifia mambo ya Migodi na vitu kama hivyo..Huyo jamaa na wengineo walikuwa wanapata shida gani? Ifike mahali tupunguze kuumia na mambo ya wengine..

NB.. Hii haikuhusu wewe uliye'repost hii comment Mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa nimejaribu kumtathmini sijampatia hta majibu
 
Hata wakati huo pia sikuoina. Ila kiukweli kabisa ingekuwa vizuri ikiwa ntamfahamu mpambanaji na mfanya biashara wa madini wa hapa Jf.
Naamini kuna atakaenitumia pm
Muombe Carlos[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwanza kabisa I took no pleasure in it, nilisoma na kuipuuza maana havinihusu.
Ya pm au nje ya Pm yabaki hukohuko haitakuja kutokea mimi kuanika mtu na nimepatana na wengi tu humu.
Kikubwa ni kwamba Kama una maisa yako ishi maisha yako huko uliko sio uje kujianika humu.

Stay low don't bunk to the guys to have spotlight and attention.
Kama angekua anafanya yake kimya kimya asingekutwa na yaliyo mkuta, kosa kubwa alilolifaya hua ana tabia ya Ku-Attack watu humu. Ndio maana anguko lake lilifurahiwa na wengi.
Again; Stay low, if you build in silence your enemy won't know where to attack
Kulikuwa na uthibisho gani kwamba aliyoyaanika huyo jamaa yana ukweli?
 
Sawa best mwenye utamu wake
[emoji12]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Saint Murano alikuja na hoja kwamba kuna mwamba nadhani ni Fernando Sucre (ambaye baadae members wengine walikuja kutoa ushuhuda juu ya kesi zake za ubabaishaji ambazo walikuwa wanaficha kisa bullying). Murano alileta uzi wa kutafuta kazi, Sucre akamwambia atafute vyeti kadhaa. Murano akatumia savings zake zote kwa shida akapata vielelezo vyote akamtumia Sucre. Jamaa alipopata akaacha kupokea simu wala kujibu PM. Murano akafungua uzi baada ya siku nyingi kutaka watu wasio na uwezo kusaidia wasiwe wanakwamisha watu na kuwaingiza gharama (baadae wajuzi wa mambo ndio walisema zile details na vyeti vitatumika kwenye utapeli na kufoji vielelezo, hivyo sio kwamba Murano kapotezewa muda ni kwamba details zake zitatumika na kuna muda anaweza kamatwa kwa tukio).

Manengelo akaja na kashfa kwa Murano akimuita mzembe, akadai hata yeye huwa anatapeliwa hela nyingi zaidi ila hasemi, akadai huwa anasaidia watu humu JF ila hawana shukrani. Watu wengi walikaa kimya hasa wadada ila mimi na raia wachache tukakomaa nae.

Kila uzi wa matapeli huwa yuko upande wa tapeli, matapeli na ID zao mpya au za zamani wanajuana naye na waliwahi fanya deals nae. Kuna wawili niliowajua PM walikuwa affiliated naye waliwahi taka kunitapeli. Kama mnakumbuka yule jamaa aliyejitangazia kifo kwa ID nyingine alafu Manengelo akaja kutoa huzuni nyingi na kudai anamfahamu wakati mtu mwenyewe hajafa.

Manengelo/Wangari kila kitu anafanya at the same time. Kuuza dagaa, kuchimba madini, mbao, kilimo, samaki, kusafirisha kwenda wapi sijui. Niliichukulia kama mbinu ya kupata watu alafu channel yake ya anaowatetea iingie kazini. Kwa asiyeeelewa atasema wanawake walimuonea wivu ila sio kweli, hakuna uwezekano wa wewe kumiliki mashimo ya madini, wakati huo uko visiwani, wakati huo ushawahi uza nguo, wakati huo una mashamba ya mpunga, wakati huo 24/7 uko JF unachamba watu, na mengine kibao.

Wangari alichofanya ni kuwashika masikio raia humu. Alizoeana kwa lazima na watu maarufu na wasio na rekodi mbaya ila vichwa ngumu kama Kiranga huwezi kuja kizembe hivi lazima wakilushtukie. Kila mtu shosti, bestie, ndugu yangu mpaka watu wakawa wanaogopa kumkosoa. Kwa mazoea yake ya kuogopwa akawa anamzodoa kila anayetapeliwa ila hiyo siku hatukukubali.
Kuna member wanasaidia na hawasemi bali aliyesaidiwa ndio anakuja kusema ila kwa Wangari yeye kila uzi wa msaada lazima aseme anasaidia watu humu, anaosaidia hawajulikani wakijitaja ndio zile ID zenye mushkeli. Ila connection alikuwa nazo kweli.

Hata hivyo sikupendezwa kabisa na yule jamaa aliyeleta mambo yao ya kimasihara. Nilimuomba afute ile comment ila alikomaa nayo
Kwa hii comment inaonekana we ni mmoja wa hao haters wa huyo dada ila km kawaida wabongo kwa unafiki hpo mwisho umemalizia na kaunafiki km kawa.
 
Kama
Hahahahahahahaha

Jamani eeh nasema hamniwezi kiselekali,kihela na kiuchawi
emoji16.png
emoji16.png
emoji38.png

Hahahahahahahaha

Jamani eeh nasema hamniwezi kiselekali,kihela na kiuchawi[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
Unabisha nishike mkono, nasema shika mkono
 
Mkuuu tugange yajayo.

Ila kama utahitaji nimuelezee kwa uchache

Nitatumia maneno matano tu [emoji116]

Wangari ni Malaika aliyetoroka Mbinguni.


Kama ni Kwa emoji ,ningetumia mbili tu[emoji116]

[emoji24][emoji8] !! ( yaan ni mwanamke anayeweza kua chanzo cha Machozi, nabado akawa yeye pekee wakukufanya UCHEKE.).
Mchawi picha tu pm
Hayo mengine hayana shida. Mi namtambua kama mpambanaji mashuhuri na mfanya biashara wa madini wa Jf.
 
Back
Top Bottom