hizo expenses ni jukumu la mwanaume.Kumbuka kodi ya nyumba , mtungi was gas, mchele, unga, maharage, sukari n.k
Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.
Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo
Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.View attachment 1188840View attachment 1188842View attachment 1188843View attachment 1188844
Mimi naanza na hivi vitumbua kabla hujanitunuku kile kingine kilichonona zaidiAsubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.