WaiiiππππMnafanana jamani felister ana vituko kama vyako yaani
Hahahahaha Ngabu mm sijali kabisa watajua wenyeweShauri yako....
Siku unashangaa njemba inadai we ni bebi wake....usije kwangu kunililia. Ntakumwagia Heineken.
Woiii nimecheka kwa nguvuu,.nlitaka kushangaa mimi nani huyo mwenye ubavu na wewe zaidi ya shushushuuπ Shunie
Nakupenda tu mimiWaiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupunguze vituko pacha@Mother Confessor
Ni vyedi kabisaa ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I know you bebe vyediii yaani vyediii
Mimi ndiyeeee pipi wakeeee[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji1732][emoji1732][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio pipi wewe
Poa kabisaa,.huwa nikimuona shualina napenda pia nikuone,.si kwa ubaya lakiniiπVipi lakini...uko poa? Naona ulinimiss eeh..
π€π€πMimi ndiyeeee pipi wakeeee[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji1732][emoji1732][emoji123][emoji123]
Hahahahaha yaani vyedi ni vitanaNi vyedi kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbishi weweMimi ndiyeeee pipi wakeeee[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji1732][emoji1732][emoji123][emoji123]
Jirani usinifanyie hivi sawa jirani yangu
Kwa nini etiPoa kabisaa,.huwa nikimuona shualina napenda pia nikuone,.si kwa ubaya lakinii[emoji4]
Halafu jana na leo niko free ungenitafuta jirani yanguJirani kimya kingi kina mshindo, very soon jirani jana nilitaka kukutafuta sema daaaah...
Imegundulika hiyo picha yenyewe hata sio yeye
[emoji180][emoji180][emoji847][emoji847][emoji39]
Haya nielekeze nakusikiliza [emoji848][emoji102][emoji102][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbishi wewe
Halafu jana na leo niko free ungenitafuta jirani yangu
Hata thielewi mm jomoniii,.lolKwa nini eti
Pipi wake mtu we endelea tu na harakati zakoHaya nielekeze nakusikiliza [emoji848][emoji102][emoji102]
Hahaah kama nakuona jirani balaa lako la janaLeo nimechil tuu home balaa la jana nalijua mwenyewe tungefurahi sana jirani, kesho nitakutafuta kama ukiwa free itapendeza sana