Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.

Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo

Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.View attachment 1188840View attachment 1188842View attachment 1188843View attachment 1188844
Baby unakula CHIPSI YAI....
Mzee baba A.K.A Baharia anagonga SUPU..

Halafu kakutanguliza hotelini ye anakuja baadae...

Huyo BAHARIA sio mtumishi wa serikali aliyeacha familia DSM....???

Sent using Jamii Forums mobile app

#YNWA
 
Back
Top Bottom