Nimeona umeweka picha yake kwa mara nyingine mkuu sio poaFanya kuzoom hizo finger digits, naona hadi mkorogo unadunda...
[emoji23][emoji1787]kuna mtu anapunwa mshahara wake masikini.
Tulia bana, kwetu sisi poaNimeona umeweka picha yake kwa mara nyingine mkuu sio poa
Ukitaka kufungua huu uzi unaona sura ya demiss mbona sielewi
Daa..Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.
Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo
Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.View attachment 1188840View attachment 1188842View attachment 1188843View attachment 1188844
Na kwa mangi anadaiwaKumbuka kodi ya nyumba , mtungi was gas, mchele, unga, maharage, sukari n.k
Wamefanya nini etiMods mnakera sana
Wamefuta post zangu sijui wapoje hawa watuWamefanya nini eti
MmmhhhWamefuta post zangu sijui wapoje hawa watu
Nilikuwa nachat na bamkwe wangu wamefutaMmmhhh
Kwa nini eti uchat kwenye uzi muhimuNilikuwa nachat na bamkwe wangu wamefuta
Dada uzi muhimu upo chit-chat au dada na wewe mmoja wa mod aliyefuta post zanguKwa nini eti uchat kwenye uzi muhimu
unataka tufanyaje kwani?Mods mnakera sana
tuchati tu tena wafuteNilikuwa nachat na bamkwe wangu wamefuta
Wamefanyaje tena tuwaiteMods mnakera sana