Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ilishaondolewa na aliyepost alishakula ban.Nimeliona hilo na mimi lkn ukiitafuta haionekani
Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.
Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo
Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.View attachment 1188840View attachment 1188842View attachment 1188843View attachment 1188844
Kuna mwanaume kakatiza hapa akiwa kifua wazi. Jamaa yangu niliyekuwa naye karibu akaniuma sikio kwamba huyo mwanaume ndiye Demiss wa jf.Ahahahhaha nimecheka mpaka machozi
Nimeona umeweka picha yake kwa mara nyingine mkuu sio poa
Nimeliona hilo na mimi lkn ukiitafuta haionekani
Nilikuwa nachat na bamkwe wangu wamefuta
Em bebe njoo kwanza naweza pata pacha wangu hapa Shunie π€πππ
DuhMpaka nimescreen shot
Demiss inaelekea mtu wa bata sana lol
Ameukimbia na uzi wake wakati si kawaida yake,mm mpaka nilikuwa namlalamikia Demiss kwa kuharibu nyuzi za watu lkn leo amekuwa kimyaaaIlishaondolewa na aliyepost alishakula ban.
NB.
Muacheni dada wa watu ameukalia now huko Idodomya.
Ilishaondolewa na aliyepost alishakula ban.
NB.
Muacheni dada wa watu ameukalia now huko Idodomya.
Walichonikera kunifutia post zangu ambazo hazihusiani kabisa na threadNilikukoti nijibu maana imefutwa