Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.

Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo

Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.View attachment 1188840View attachment 1188842View attachment 1188843View attachment 1188844
Kwa hali hii mademu wakali tutaishia kuwapigia puli tu, sabini chumba bado hujamlipa mafao yake na kula kunywa. Ngoja tu niende Buguruni nikapoze machungu na buku 7 zangu,maana hakuna namna nyingine
 
Back
Top Bottom