Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahahaha Saint Ngabu bora umekuja ulikuwa unauliziwa apa Mother Confessor ukujeHuh!!!
Mi mbebez wa nani tena?
Isije kuwa mtu kaniota kwenye ndoto zake huko halafu akanifanya niwe mbebez wake kichwani mwake!
Au isije kuwa nime-Like bandiko la mtu halafu huyo mtu akadhani mi ndo bebi wake.
Hebu fanya kunijulisha....leo nani anasema mi ni mbebez wake [ukiondoa Mother Confessor]?