Demiss catoon ! Unapenda nikuwekee catoon ya member gani hapa Jf ?

Demiss catoon ! Unapenda nikuwekee catoon ya member gani hapa Jf ?

a7ecbf505a340720c63d3a179909d9c5.jpg
36f8e59447a025d6b714138affe398e0.jpg
Weka katuni ya Hance Mtanashati
 
Nimependa hiki unchofanya. Katuni zinchekesh hajavunja sheria za JF na sidhani kama kun mtu atakereka kwa hili.

hongera. Wewe ndiye unachora?
 
Ngoja nijaribu juice maana wanga walitaka nikukose na mm Bila Wewe ni sawa na gari Bila ingin
Kina nani hao?wanatakiwa wajue mimi na wewe kuachana ni future impossible tense[emoji85]
Watasubiri sana
 
Back
Top Bottom