Namuhurumia kwakweli, kwani yawezekana hata yeye alipo huko akawa anawaza ni jinsi gani anaweza akakurejesha tena kwenye himaya yake.Paaah unamuonea huruma
Duuhhhhh........Nilitaka kumlipa mema aliyonitendea ila yeye hakulijua hilo akaamua kusepa huku kaniachia pizza
Hehehehhe babu una maneno wewe jamani mm naringa na MGANGADuuhhhhh........
Bibi... basi kama aliwahi kukutenda mema kama unavyo kiri, nivyema ukamtafuta ili mzungumze kwani yawezekana alipotoka ama kughafilika kwa jambo dogo tu, kwani kwa maelezo na maandishi yako naona kabisa na dhahiri vile X wako alivyo kupenda kwa dhati
😀😀😀😀😀😀😀😀😀[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji27] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NAHUJA ntake lazi loh...
Haya sio maneno yako Bibi, yaani naona kabisa jinsi ulivyo kolezwa na mitishamba... tehteehhhHehehehhe babu una maneno wewe jamani mm naringa na MGANGA
Kabisaa walah hujakoseaHaya sio maneno yako Bibi, yaani naona kabisa jinsi ulivyo kolezwa na mitishamba... tehteehhh
Dah.....Google bana.....😀😀😀😀She is my sweetest bean... Though sitampa airtime hapa regarding her sweetness!
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bean sio beans! Sweetness ni utamu [emoji39] [emoji85] sio uzuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah.....Google bana.....😀😀😀😀
Yeye ni maharagwe yangu mazuri ... Ingawa sitampa wakatihewa hapa kuhusu uzuri wake
Ah ah ah ah ah ah kulalekMxeeew wewe mzeee huna maana
Etiii?Salama najiandaa kwenda kanisani
Udambwi dambwiHata mm leo nina raha kuna mtu kaniletea Pizza nafungua nakutana na bonge la zawadi naomba nikupe kidogo pizza uonje babu
Ah ah ah ahAliniboa sana kwa sababu anang'ata na kupuliza naanzaje nisamehe?
KhaaaaUdambwi dambwi
Mahaba kama yoteeeWatu na vitu vyao