Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Paaah unamuonea huruma
Namuhurumia kwakweli, kwani yawezekana hata yeye alipo huko akawa anawaza ni jinsi gani anaweza akakurejesha tena kwenye himaya yake.
Na....... Binadamu hautukuumbiwa visasi ama roho za chuki.
Lakini pia ebu mtafute huko Dar na umuulize wapi penye ulumkwaza, ili akikuambia yaweza ikawa tiba, afya ama faida kwa maisha na mahusiano yako mapya
 
Nilitaka kumlipa mema aliyonitendea ila yeye hakulijua hilo akaamua kusepa huku kaniachia pizza
Duuhhhhh........
Bibi... basi kama aliwahi kukutenda mema kama unavyo kiri, nivyema ukamtafuta ili mzungumze kwani yawezekana alipotoka ama kughafilika kwa jambo dogo tu, kwani kwa maelezo na maandishi yako naona kabisa na dhahiri vile X wako alivyo kupenda kwa dhati
 
Hehehehhe babu una maneno wewe jamani mm naringa na MGANGA
 
Dah.....Google bana.....😀😀😀😀
Yeye ni maharagwe yangu mazuri ... Ingawa sitampa wakatihewa hapa kuhusu uzuri wake
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bean sio beans! Sweetness ni utamu [emoji39] [emoji85] sio uzuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uzi kama huu ni MUHIMU sana kuzurura, hukawii kuokota dodo au hata kusukumiwa kule!
 
Back
Top Bottom