Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Namuhurumia kwakweli, kwani yawezekana hata yeye alipo huko akawa anawaza ni jinsi gani anaweza akakurejesha tena kwenye himaya yake.Paaah unamuonea huruma
Na....... Binadamu hautukuumbiwa visasi ama roho za chuki.
Lakini pia ebu mtafute huko Dar na umuulize wapi penye ulumkwaza, ili akikuambia yaweza ikawa tiba, afya ama faida kwa maisha na mahusiano yako mapya