Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehee tuuu mzeeUnajua ntasitisha ile ofa yangu ya makange?
We endelea tu kunishushia heshima...
Hahahaha hahahahNaona
anastahili kwakweli,She is my sweetest bean... Though sitampa airtime hapa regarding her sweetness! [emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nampa airtime kwa jinsi alivyoweza kwa uwezo utundu (hauzidi ule wa kunako 6×6) na umahiri wa ajabu kuleta post zilizobamba chitchat kuanzia January, japo kuna wakati baadhi ya post zake hizo zilimsababishia vifungo mfululizo... But she has managed to go through [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
She has guts! Anaandika anachoamini.. Anaandika kinachomfurahisha... Anaandika hisia zake na haogopi utazitafsirije... She is kind of an extrovent...! Hukumfanya apige mayowe... Atakuchana tu live[emoji87] [emoji38] [emoji31] [emoji85] [emoji85]... Haogopi japo ana staha sana... All in all in serious note... Ameip CHITCHAT uhai na airtime ya kutosha... Mshindani mkuu wa CC, MMU kwasasa kabaki muhenga hapumui mbele ya CC
Mwaka 2012 charminglady alikuwa nominee wa malkia wa chitchat... Na ALISHINDA [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji322] [emoji322] [emoji323] [emoji323] ..... Mwaka 2018 chamdeko anachanja mbuga.....
Hata kama tuna tofauti zetu na Demiss.... Lakini penye credit.. Tumpe zile anazostahili
View attachment 820790
Kampa tamuuuKampa kampa tena
Babu shikamoooUnajua ntasitisha ile ofa yangu ya makange?
We endelea tu kunishushia heshima...
@ushimenKwenye ile avatar ya mapengo
Na wewe ngoko kama break za ndegeKama kikombe cha kahawa
Love you
Rafik nimekumissView attachment 820881
Ahsante studio
Hahahaha na nati au?Nakaziaaa
Comment yako kwangu ni kura toshaaanastahili kwakweli,
tunapigaje kura nikampe kura yangu mimi!
Msije nipiga kipapai tuBalaa tupu mapemaaaa Aya sas demiss endelea kuchanja mbuga
Asantee sana nambie upo kwa mangi?Mtajwa anastahili ,pongezi kwake
Hahaaaa Ukiwa jf unajuaga kujifyatua kweli.Na wewe ngoko kama break za ndege
ngoja nikunong'oneze Mshana Jr asije akanikwida (nimekumiss piaa..!!!!)Rafik nimekumiss