Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe hujioni kama muhenga wa miaka 50Hahaaaa Ukiwa jf unajuaga kujifyatua kweli.
Najipa aka mpya.
Ngabu aka Mfalme wa kutema sumu kwa wachuchu wa JF.
Teh teh teh....
Hahaha, km kawa, tusiharibu Uzi ,nilikua natoa pongezi zangu tu na MimiAsantee sana nambie upo kwa mangi?
Umenipiga dongo la chini chini hahaaaWewe mwenyewe hujioni kama muhenga wa miaka 50
Mkuu, ujue kuchamba kwingi... Kutakufanya ushike mavi.... tehteehhh[emoji3][emoji3][emoji3]Hapa shuzi limepata mjambaji...
Nimemnukuu raia fulani
Nimeitika mkuu....@ushimen
Inawezekana na wewe ukawa mhenga mwenzanguMkuu, ujue kuchamba kwingi... Kutakufanya ushike mavi.... tehteehhh[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeitika mkuu....
Humu ndani kuna raha za kila rangi mkuuInawezekana na wewe ukawa mhenga mwenzangu
Hizo raha sijabahatika kukutana nazoHumu ndani kuna raha za kila rangi mkuu
Hahahah unaogopa uchawi
Hahaha unazipatia sana mada chonganishiHahaha sna gundu alafu nimewaachia mchat wenyewe mm nakaapemben nasoma comment
Nitahesabu kura, hata goli la kisigino nitafunga tu...She is my sweetest bean... Though sitampa airtime hapa regarding her sweetness! [emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nampa airtime kwa jinsi alivyoweza kwa uwezo utundu (hauzidi ule wa kunako 6×6) na umahiri wa ajabu kuleta post zilizobamba chitchat kuanzia January, japo kuna wakati baadhi ya post zake hizo zilimsababishia vifungo mfululizo... But she has managed to go through [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
She has guts! Anaandika anachoamini.. Anaandika kinachomfurahisha... Anaandika hisia zake na haogopi utazitafsirije... She is kind of an extrovent...! Hukumfanya apige mayowe... Atakuchana tu live[emoji87] [emoji38] [emoji31] [emoji85] [emoji85]... Haogopi japo ana staha sana... All in all in serious note... Ameip CHITCHAT uhai na airtime ya kutosha... Mshindani mkuu wa CC, MMU kwasasa kabaki muhenga hapumui mbele ya CC
Mwaka 2012 charminglady alikuwa nominee wa malkia wa chitchat... Na ALISHINDA [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji322] [emoji322] [emoji323] [emoji323] ..... Mwaka 2018 chamdeko anachanja mbuga.....
Hata kama tuna tofauti zetu na Demiss.... Lakini penye credit.. Tumpe zile anazostahili
View attachment 820790