Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Jamani jamani huyo mdada mbona ananitafutia balaa mara ya mwisho kupanda ndege sijui elfu mbili na kumi na ngapi uko nimeshasahau mm khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂.... insta babe niacheee na insta shunie wangu... me mwenyew ndio najua kama yule ww au sio 😂😂😂😂
 
Mfyuuuu ubaya huu wa sura ya baba
Mtafute kesho mkutane kwa G mwenyewe nimemmiss ila lazima tu tutagombana tukionana
Mnagombania nini sasa? Halafu nilishaongea nae nikamwambia aje hapo kesho. Na yeye kaniambia Shunie akiwepo basi tena atanizingua. Ngoja nimtafute kesho kumkumbusha appointment
 
Insta babe wanaita weed eti jani la arusha
hahah.... hilo mimi situmii insta babe japo ujanani nilionja pamoja na sigara sikuona radha yake siku ya kwanza tu nikapotezea

bora bia unakunywa na radha unapata sasa ile nilivuta moshi hata nikiumeza sipati radha nikapotezea hapohapo 😂
 
Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online

Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao

Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
Mwambie jamii in chakula cha ubongo.mjinga huyo yeye aliingia humu kufanya nn?
 
Hahhahah unajifanya hujui tunachogombania mwambie siji bwana namzinguaje labda kumzingua kuomba hela na hiko kitu na kutoa pesa hataki kabisa
Mnagombania nini sasa? Halafu nilishaongea nae nikamwambia aje hapo kesho. Na yeye kaniambia Shunie akiwepo basi tena atanizingua. Ngoja nimtafute kesho kumkumbusha appointment
 
Bora ulivyoachana nalo endelea kunywa gambe insta babe hapo ndio pazuri sana
hahah.... hilo mimi situmii insta babe japo ujanani nilionja pamoja na sigara sikuona radha yake siku ya kwanza tu nikapotezea

bora bia unakunywa na radha unapata sasa ile nilivuta moshi hata nikiumeza sipati radha nikapotezea hapohapo [emoji23]
 
Back
Top Bottom