Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Nikiwa Darasa la Saba, Mzee alianza ugomvi Nyumbani.. mara Kumpiga mama n.k, Kulikuwa na Guest House akauza.. maduka yalikuwepo mawili akauza.. akaoa na mke wa pili.. akahama na nyumbani.. tukabaki na Mama.. maisha yalikuwa Magumu sana kwa sababu hatukuzoea kuishi hivyo.. Mama alitusomesha kwa shida vivo hivyo Mpaka namaliza chuo Kikuu na Mdogo wangu wa Mwisho yupo Kidato cha Nne.. Hakukuwa na Msaada wa mzee.. Mom was single, Na hakutuacha.. Kila ninapokumbuka haya kamwe siwezi kuwadharau single moms.. maybe wana makosa yao ila katika case ya kulea familia zao kamwe siwezi kuwabeza!.. Kaza mama Yajayo yanafurahisha!!
Pole Kwa kuona alichopitia mama. Nakazaa. Sijali hata wanaosema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Insta babe una nini lakini na mbavu zangu state na south na mm wapi na wapi

Au lengo lako unawatisha watu hutaki nipate mbebez nimeshaona hutaki shemeji wewe huku jf wakiona hivyo wataniogopa kumbe naishi zangu uswahilini kwetu tandale kwa tumbo
ndioo maana insta babe huku hujiachii kama kule insta eeeeh

mapicha ya south mara state kumbe huku unaogopa kuyapost sababu ya watu kama hawa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Insta babe una nini lakini na mbavu zangu state na south na mm wapi na wapi

Au lengo lako unawatisha watu hutaki nipate mbebez nimeshaona hutaki shemeji wewe huku jf wakiona hivyo wataniogopa kumbe naishi zangu uswahilini kwetu tandale kwa tumbo
😂😂😂😂😂😂 me mwenyw zile post kule ziliniogopesha mwanzo ujue 😂😂😂😂
 
Watoto ndo wanadharau single moms Na wengine mama zao ni single moms zile hasira za wazazi waake kutopatana anahamishia Kwa mama kuwa ni kosa lake. Wakikua wataachaNimeona mkuu. Na I'm not ashamed ndo maana nasemaga Mi single mom. Atakaenichukia akanywe simu afe maana Hana Mchango wowote kwenye maisha yangu
Safi, live your life to the fullest..... Maisha ni mafupi sana yapasa tuyafurahie, uwe na pesa ama usiwe nayo, usipokuwa na mke/mme au girlfriend/boyfriend uwe na elimu usiwe nayo, mzima au mlemavu.... Just celebrate life, pumzi ni zawadi... Kuna wengine huenda tukafa hatuna watoto, furahia kuwa na mtoto wala usimwonee aibu mtu, it's your life.
 
Safi, live your life to fullest..... Maisha mafupi sana yapasa tuyafurahie, uwe na usiwe nayo usipokuwa na mke/mme au girlfriend/boyfriend uwe na elimu usiwe nayo, mzima au mlemavu.... Just celebrate life, pumzi ni zawadi... Kuna wengine huenda tukafa hatuna watoto, furshia kuwa na mtoto wala usimwonee aibu mtu, it's your life.
Yeeey. Niache kuishi kisa MTU anasema kweli? Sio Mimi kabisa.
 
Yaan jf pekee single mom anaonekana kitu cha ajabu

Back
Top Bottom