Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Una wazimu wewe. Kwa wanaume gani wa kumtunza MTU na mtoto wake.? Kwa hela IPI kwanza? Usinikaushe uzazi tafadhali.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Okay from tomorrow come back home I wll give you the job do at home..!
 
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?

Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.

Khaaa!!!!
3 is the answer.
 
Ila mleta mada mchokozi sanaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],
Kaleta madaa afuu huyooo kapoteaa...
Kimtazamo Mleta Mada inaonekana ni Mtu mwenye Akili.. Kanjanja flani kama USA ivi.. anawaletea Mkasa alafu anawakimbia!
 
Back
Top Bottom