Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Nikupe Mwaliko??

Yetu sisi ya kibabe,

Mbuzi 3, pombe kama zotee,

Mziki mnene,

Afu inafanyikiaa porini (outdoor),

Kizungu yaniiiii

Ila lzm uwe couple,
Mana itakuwa madhambi tupu
Hiyo ya mitego. Mambo ya couples tena. Bebeni Na singles tuje.
 
Sasa ndo unafki nisiopenda Mimi. Kwani anatuogopa nini wakati kumpiga hatuwezi hata

Hahahaa!!

Watu hawanaga ujasiri wa kutumia IDs za zilizozoeleka. Wanaogopa.

Ana kwa ana ndo watajinyea kabisa.

Kaazi kweli kweli yaani!!
 
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?

Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.

Khaaa!!!!

Unaonekana umeamua tu kuwachokoza hawa.

Lakini nawe si umekuwa ukikesha kubaini hayo uyasemayo?

Hao ulowataaja ni baadhi ya wengi hata wewe, wanaoifanya hii JF isimame.

Si waona hata mawazo yao na michango yao ilivyotulia?
 
Hahahaa!!

Watu hawanaga ujasiri wa kutumia IDs za zilizozoeleka. Wanaogopa.

Ana kwa ana ndo watajinyea kabisa.

Kaazi kweli kweli yaani!!
Akija Na ID yake majina yote mazuri anakuita akitumia ID ingine utajuta kuifahamu hiyo ID Kwa maneno unayopewa.
 
Back
Top Bottom