Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Pole Kwa kuona alichopitia mama. Nakazaa. Sijali hata wanaosemaNikiwa Darasa la Saba, Mzee alianza ugomvi Nyumbani.. mara Kumpiga mama n.k, Kulikuwa na Guest House akauza.. maduka yalikuwepo mawili akauza.. akaoa na mke wa pili.. akahama na nyumbani.. tukabaki na Mama.. maisha yalikuwa Magumu sana kwa sababu hatukuzoea kuishi hivyo.. Mama alitusomesha kwa shida vivo hivyo Mpaka namaliza chuo Kikuu na Mdogo wangu wa Mwisho yupo Kidato cha Nne.. Hakukuwa na Msaada wa mzee.. Mom was single, Na hakutuacha.. Kila ninapokumbuka haya kamwe siwezi kuwadharau single moms.. maybe wana makosa yao ila katika case ya kulea familia zao kamwe siwezi kuwabeza!.. Kaza mama Yajayo yanafurahisha!!