hahahah... insta babe unajua hilo neno umenikumbusha utotoni
dushwaa dushwaaa kufa kufa mbona hufi sana akati nimekupiga utata unaanza hapo na mchezo unaishia hapohapo
kwan ni majan gan hayo insta babe [emoji23][emoji23]
Natafuta bebe Nov tunahama kama MAJIRANI wenyewe ndio hawa bora tukae pamoja tu.Bby ushatafuta NYUMBA kwanza Mwezi ujao tuhame?
ππππ.... insta babe niacheee na insta shunie wangu... me mwenyew ndio najua kama yule ww au sio ππππJamani jamani huyo mdada mbona ananitafutia balaa mara ya mwisho kupanda ndege sijui elfu mbili na kumi na ngapi uko nimeshasahau mm khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnagombania nini sasa? Halafu nilishaongea nae nikamwambia aje hapo kesho. Na yeye kaniambia Shunie akiwepo basi tena atanizingua. Ngoja nimtafute kesho kumkumbusha appointmentMfyuuuu ubaya huu wa sura ya baba
Mtafute kesho mkutane kwa G mwenyewe nimemmiss ila lazima tu tutagombana tukionana
Ndio bby. Majirani Hawa hawashindwi kunimwagia tindikaliNatafuta bebe Nov tunahama kama MAJIRANI wenyewe ndio hawa bora tukaa pamoja tu.
hahah.... hilo mimi situmii insta babe japo ujanani nilionja pamoja na sigara sikuona radha yake siku ya kwanza tu nikapotezeaInsta babe wanaita weed eti jani la arusha
Washindwe kwa jina la Bwana YESU. Usiku mwema bby ukilala usisahau kusali!Ndio bby. Majirani Hawa hawashindwi kunimwagia tindikali
Mwambie jamii in chakula cha ubongo.mjinga huyo yeye aliingia humu kufanya nn?Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online
Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao
Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... insta babe niacheee na insta shunie wangu... me mwenyew ndio najua kama yule ww au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana nae hajitambui huyo.amevimbiwa maharage ya wapii huyu bwanaaaaaa.Ni kwamba muda tulio online Na yeye anakuaga online. Atuambie hapo yeye IPI sababu yake Kati ya hizo.
Mnagombania nini sasa? Halafu nilishaongea nae nikamwambia aje hapo kesho. Na yeye kaniambia Shunie akiwepo basi tena atanizingua. Ngoja nimtafute kesho kumkumbusha appointment
hahah.... hilo mimi situmii insta babe japo ujanani nilionja pamoja na sigara sikuona radha yake siku ya kwanza tu nikapotezea
bora bia unakunywa na radha unapata sasa ile nilivuta moshi hata nikiumeza sipati radha nikapotezea hapohapo [emoji23]
Mwambie jamii in chakula cha ubongo.mjinga huyo yeye aliingia humu kufanya nn?
HahahhaaaaAchana nae hajitambui huyo.amevimbiwa maharage ya wapii huyu bwanaaaaaa.
ππππHahhahha huyo sio mm insta babe mwisho wa siku mm sitaki tukimbiane
Sijui mkurya gani Ana ugomvi Na kutoa pesa.Hahhahah unajifanya hujui tunachogombania mwambie siji bwana namzinguaje labda kumzingua kuomba hela na hiko kitu na kutoa pesa hataki kabisa
Sijui mkurya gani Ana ugomvi Na kutoa pesa.
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukimuomba anabadilika kabisa halafu awe amelewa sasa utafurahia show