Mtoa mada tumemwonya aache cyber abuse la sivyo atatajwa.Huu uzi mmechukua maamuzi gani
Nakumbuka kule kwenye uzi wa forex kuna mtu alikuwaga anakuja anauliza "sasa jamani mmetoa maamuzi gani" ye anauliza hicho tu
Ahhahaha maamuzi ni kuikacha jf milele[emoji23][emoji23]Maamuzi yameshatolewa au bado? ,ndio naamka twendeni kanisani
DuhMtoa mada tumemwonya aache cyber abuse la sivyo atatajwa.
Hujambo bintiAhhahaha maamuzi ni kuikacha jf milele[emoji23][emoji23]
NotedWanaume wenzangu, Hii ni Vita ya wanawake.. Mwanamume Rijali hutakiwi Kuegemea Upande wowote.. Wacha Vita iendelee!
Santana
Sjamboo shikamoooHujambo binti
Marhabaaa pole kwa huu UziSjamboo shikamooo
Mnajuana wenyewe wazee wa kuchukiana bila sababumada imetoka kwa mwanamke..not surprised!
Na ukiona MTU /WATU wanakufuatilia sana ujue wanakukubali na kukuogopa ,nakujifanya wanakujua SanaKuna msemo husema...
If you can't bit them join them...
Kama huwezi kuwashinda, jiunge nao...
Cc: mahondaw
Asante ni uzi mzuri nimeupenda sana lakin mm wananionea kabisa jaman siku hizi namaliza week sjaingia hukuuMarhabaaa pole kwa huu Uzi
HahahahaAsante ni uzi mzuri nimeupenda sana lakin mm wananionea kabisa jaman siku hizi namaliza week sjaingia hukuu
Ila napenda jinsi mtu anataman awe mimi[emoji23][emoji23]Hajui tu kerooo ninazokutana nazoo
Yani acha tu alafu mm hata sjui kama ninajulikana Jf kumbe ni I'd inayotrend sana duh lakin afadhali kumbe mm ni star kama kina diamond [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha
Maramamae ,kaburi hili ila hii ID si ngeni humu kuna memba wamekiri wanamjuaHahaha nawatakia jumapili njemaView attachment 889181
Sasa mkuu unataka kunifinyia talanta yangu ya uandishi hujui tu ninavyopata faidaaaIla Demiss kazidi, khaaaa!!
Kila uzi wake,
Mzigua umemwoneaa!
Fungua codesMaramamae ,kaburi hili ila hii ID si ngeni humu kuna memba wamekiri wanamjua
Sasa mkuu unataka kunifinyia talanta yangu ya uandishi hujui tu ninavyopata faidaaa