Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
AhhahahahaAhhahaha maamuzi ni kuikacha jf milele[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhhahahahaAhhahaha maamuzi ni kuikacha jf milele[emoji23][emoji23]
Atajwe harakaaMtoa mada tumemwonya aache cyber abuse la sivyo atatajwa.
Mwee mmeamua kufukua makaburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muoneeni hurumaHahaha nawatakia jumapili njemaView attachment 889181
Niende wapiHahahaha
Kumbe bado upoo
Nataka nitangaze niaAhhahahaha
NakaziaAtajwe harakaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unavituko umeligundua hilo saangapi kweli uko vizur heshima kwako mkuuMtoa mada sogea niku nong'oneze jambo
una support kubwa nyuma yako kwa Bahati mbaya ni ma supporter hewa
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?
Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.
Khaaa!!!!
Hapo sasaaa!!!Pale unapokua busy na maisha ya wenzio kuliko yako.
Hapo sasaa!!anaumwa na maisha yenu kuliko yake!!kwa nini mkwe hukunitonyaa...Jana kule chembaaa ningennua kesi ujuee..amegusaaaa watu wangu nnaowapenda!aaaaarhhhhgggghhhhhWakati sisi tukiwa online muda wote wewe unakuaga wapi? Hayo uliyoyaandika yote uko sawa sawa kabisa kuhusu sisi, Una tatizo Na sisi kuwepo online muda wote?
Acha kufuatilia maisha ya watu wewe.
Shunie shunie...umeniudhiiii..kwa nini hukunitonyaaaa!!!tumfurahushe huyuuuuIla una kazi kuangalia nani na nani wapo online
Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao
Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningecomment hapa, sema we hater wangu.
Tangu kipindi cha mada ileeeee ya ukumbi wa Mwika Sinza
Walev Wa jf utawajua tu jinsi wanavyojitetea1.Mie JF nimeinstall Kwenye Simu Tapatalk,Kwahiyo mda wote napata notification wakianzisha mada kwenye Celeb,Siasa na hbari mchanganyiko,pia natapa notifications kwenye thread ambazo nipo subscribed so inakuja kama message,so mda wote napata ujumbe kwahiyo inakuwa rahisi kujibu na kuona.
2.Pili hata kama umeoa/umeolewa siku hizi watu walioendelea wanavyumba vitatu(Cha mwanamke,Cha mwanamme na Cha KUDO),Wakitaka kuDO wanalala Chumba cha Kudo wakishamaliza shughuli kila mtu anaenda kulala kwenye chumba chake,so masaa mawili ya kuwa pamoja kwenye shughuli akimaliza anakuwa free peke yake kwa room yake.
Kabisaaaaaaa!!!!!Mimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
MmmhHapo sasaa!!anaumwa na maisha yenu kuliko yake!!kwa nini mkwe hukunitonyaa...Jana kule chembaaa ningennua kesi ujuee..amegusaaaa watu wangu nnaowapenda!aaaaarhhhhgggghhhhh
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16]mikwara tuu hiii!!kaka!usishtukeeeMmmh
Hahahaha, niko makini sana na comments zenu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16]mikwara tuu hiii!!kaka!usishtukeee
Nguvu sina basi hata mikwara iwepoHahahaha, niko makini sana na comments zenu
Vzr pia ,huwa inasaidia ,ila mbio unazo?Nguvu sina basi hata mikwara iwepo