Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?

Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.

Khaaa!!!!

Heri anayekaa kwenye key board usiku kucha kuliko wewe kulala na baba mzazi na kupata mimba na kuzaa naye!!!!!!
Shame on you amKATRINA. ulaaniwe.
 
Wakati sisi tukiwa online muda wote wewe unakuaga wapi? Hayo uliyoyaandika yote uko sawa sawa kabisa kuhusu sisi, Una tatizo Na sisi kuwepo online muda wote?
Acha kufuatilia maisha ya watu wewe.
Hapo sasaa!!anaumwa na maisha yenu kuliko yake!!kwa nini mkwe hukunitonyaa...Jana kule chembaaa ningennua kesi ujuee..amegusaaaa watu wangu nnaowapenda!aaaaarhhhhgggghhhhh
 
Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online

Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao

Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
Shunie shunie...umeniudhiiii..kwa nini hukunitonyaaaa!!!tumfurahushe huyuuuu
 
1.Mie JF nimeinstall Kwenye Simu Tapatalk,Kwahiyo mda wote napata notification wakianzisha mada kwenye Celeb,Siasa na hbari mchanganyiko,pia natapa notifications kwenye thread ambazo nipo subscribed so inakuja kama message,so mda wote napata ujumbe kwahiyo inakuwa rahisi kujibu na kuona.

2.Pili hata kama umeoa/umeolewa siku hizi watu walioendelea wanavyumba vitatu(Cha mwanamke,Cha mwanamme na Cha KUDO),Wakitaka kuDO wanalala Chumba cha Kudo wakishamaliza shughuli kila mtu anaenda kulala kwenye chumba chake,so masaa mawili ya kuwa pamoja kwenye shughuli akimaliza anakuwa free peke yake kwa room yake.
Walev Wa jf utawajua tu jinsi wanavyojitetea
 
Mimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
Kabisaaaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom