Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Maamuzi ni kwamba tunaenda kuomba kazi ya umoderator vigezo tunavyo
Mmetakuwa mmekomeshaa maana ndio mtazidi kushinda na watakaokereka watakufwa kabla ya muda[emoji23][emoji23][emoji23] na ban juu mnawaongezea
 
Hapo sasaa!!anaumwa na maisha yenu kuliko yake!!kwa nini mkwe hukunitonyaa...Jana kule chembaaa ningennua kesi ujuee..amegusaaaa watu wangu nnaowapenda!aaaaarhhhhgggghhhhh
Apambane na yake kwanza yetu yako vizuri kabisa.
 
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?

Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.

Khaaa!!!!
Kuna tofauti ya masaa kati yetu na wao...huku kukiwa mchana kwao ni usiku...halafu wote wanabebika sio singo mazas
 
Kwa mdada kama Sky eclat, kumuuliza maswali ya kipuuzi kama hayo ni kujidhalilisha mwenyewe.

Huyu dada yuko smart kichwani, ni mtani wa watu, mcheshi na hajiskii kabisa(simple).

Hivi unawezaje ukawa na tatizo na mtu kama huyu??

Nadhani mtoa mada ni wivu tu na umasikini ndo unaokusumbua.

Kwani ulishawahi kuwafata PM ukawauliza vimaswali vyako vya kimasikini wakashindwa kukujibu mpaka uje kuanzisha uzi wa kipumbavu??

Haya ukishapata majibu ya maswali yako, itakusaidia nini??

Usipende sana kujipendekeza kwa watu usiowajua, watu tunawapenda uliowataja na tunawaheshimu na tunafurahi sana tuwaona online kila mda.
Bora angetuweka Mi na Demiss kumuweka Sky sijapenda kabisa. Kwanza hanaga muda na MTU mwenyewe. Wivu tu unamsumbua kuona tunapendwa. Nani atamkubali MTU anaeweka Uzi amelala na babake mzazi. Unaweka Uzi wa kushusha heshima yako halafu unataka na wengine wawe dragged kwenye level yako.
Mtoa mada ajitafakari.
 
Back
Top Bottom