Mpaka lini?Ishakuwa saa 5 hii, leo hakuna jibu.
Rudia mkuu.Kosa la mleta uzi ni kwamba kati ya hao aliowaandika ni watu wetu wa karibu sana, sorry, ni watu wake wa karibu sana.
Hebu ngoja nirudie kusoma nilichoandika...
Unanichanganya maana sijasoma comment moja baada ya nyingine ili nipate kuunganisha dotsKosa la mleta uzi ni kwamba kati ya hao aliowaandika ni watu wetu wa karibu sana, sorry, ni watu wake wa karibu sana.
Hebu ngoja nirudie kusoma nilichoandika...
Mpaka lini?
kumpa mtu ukweli sio dharau ni heshima T
Kwa usemi wako huu wifi, una maana gani?Unanichanganya maana sijasoma comment moja baada ya nyingine ili nipate kuunganisha dots
Ila ninauhakika maswali hayo yangekuja kwangu mie kajamba nani watu msingejali na mngewahi siti kusikiza majibu
Siyo kweliUnanichanganya maana sijasoma comment moja baada ya nyingine ili nipate kuunganisha dots
Ila ninauhakika maswali hayo yangekuja kwangu mie kajamba nani watu msingejali na mngewahi siti kusikiza majibu
Ishakuwa saa 5 hii, leo hakuna jibu.
Nawaomba twende nyumbani mkaning'ate sikio, naona hapa pana harufu siielewiRudia mkuu.
Usije ukateleza ukakinzana na ya waja wa Pm
Huyu hawa watu inaelekea wanafahamiana sana kaamuwa achemshe akili za watu kama hawa wanakubalika kiasi ganiWewe kazi yako nini haswa?
Au Kufatilia nani yuko online?
Kwa usemi wako huu wifi, una maana gani?
Walevi hawasemagi uongo, hiyo ndo kanuni tutakayoitumia.Sawa hakuna tabu.
Mzee mwenyewe hana kumbukumbu.
Ngoja kwanza nimalizie hii grants ya mkopoHuu uzi huu, ngoja nipige mafunda mawili nione kama bado nitatumia akili za kuambiwa au zangu.
Babu unatusubirisha aisee...
Mkuu kuna swali la Madame B hapa chini linasubiri jibu lako mkuu; unamwogopa huyo mtu?
We ndo umeongea point.Huyu hawa watu inaelekea wanafahamiana sana kaamuwa achemshe akili za watu kama hawa wanakubalika kiasi gani
Ndo mumtaje.Ngoja kwanza nimalizie hii grants ya mkopo
Kwani kaka we uko chama tawala?Walevi hawasemagi uongo, hiyo ndo kanuni tutakayoitumia.
Huyu hawa watu inaelekea wanafahamiana sana kaamuwa achemshe akili za watu kama hawa wanakubalika kiasi gani
Kwani kaka we uko chama tawala?
Mie najua uko upinzani
Hivi kumbe target ni huyo?