Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Kosa la mleta uzi ni kwamba kati ya hao aliowaandika ni watu wetu wa karibu sana, sorry, ni watu wake wa karibu sana.

Hebu ngoja nirudie kusoma nilichoandika...
Rudia mkuu.
Usije ukateleza ukakinzana na ya waja wa Pm
 
Kosa la mleta uzi ni kwamba kati ya hao aliowaandika ni watu wetu wa karibu sana, sorry, ni watu wake wa karibu sana.

Hebu ngoja nirudie kusoma nilichoandika...
Unanichanganya maana sijasoma comment moja baada ya nyingine ili nipate kuunganisha dots

Ila ninauhakika maswali hayo yangekuja kwangu mie kajamba nani watu msingejali na mngewahi siti kusikiza majibu
 
Kwa usemi wako huu wifi, una maana gani?
 
Back
Top Bottom