Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Kwa leo tu, tena kwenye uzi huu huu nimeshuhudia ukikataa mboga 2 murua kabisa zilijileta kwako. Hakuna wa kuniaminisha tena kuwa wewe sio joka la kibisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena joka pori la kibisa
 
Kwa leo tu, tena kwenye uzi huu huu nimeshuhudia ukikataa mboga 2 murua kabisa zilijileta kwako. Hakuna wa kuniaminisha tena kuwa wewe sio joka la kibisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umetafuta cha ukweli, umekipata, ukakisema hadharani. Mimi nisiye joka, ngoja nitafute nafasi au unanisgaurije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…