Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Ha haa haa umejuajee maaana
leo ni juma3 hapa kinyika full ndizi.
Juzi nilikuwa Katengele!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuona maana mi nilikuwa soko la hapa kinyika

Ndio nikanyela kuja lugombo kununua mahitaji

Kama ulikuwa katengele basi tulikuwa wote si unajua kule kunapatika mifugo kwa bei rahisi
 
Sky Eclat yeye danga lake linampeleka india anakutana na vyoo vya ajabu ajabu aache kukesha akisimulia humu? labda cyo mimi!
Demiss ndo kabisaa yeye danga lake (asije nisikia) yeye usiku kucha ni ungo na usinga unazani atalala saa ngapi,
Mzigua90 yeye katulia na Lions Hills na Captain Morgan Bareedi kwenye kikapu na vile vimotomoto vinawaka kwenye kinywaji Ataacha kupiga soga?

AmKATRINA tafuta danga humu, wengi tupo singo... Wakwanza mimi na sisi tuwatambie na kuwatema mate ptuuuuuuu.....

Mama Sabrina mekumic
 
Hahaahahahah katrina sasa hivi ana 60 na kitu kama hakudanganya na anapenda vijana kama wewe
Kesho atakuja mwingine hivi wanawake wa humi mnato.mba saa ngapi maana muda wote mpo humu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mim nipo tu nimekumiss pia
 
Back
Top Bottom