Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Hahaahahahah katrina sasa hivi ana 60 na kitu kama hakudanganya na anapenda vijana kama wewe
Kesho atakuja mwingine hivi wanawake wa humi mnato.mba saa ngapi maana muda wote mpo humu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mim nipo tu nimekumiss pia
Heee kumbe yupo kwenye compulsory retirement age, cmtaki huyu soon mpunga utakata nazan hata kiinua mgongo ashatafuna
 
Unanichanganya maana sijasoma comment moja baada ya nyingine ili nipate kuunganisha dots

Ila ninauhakika maswali hayo yangekuja kwangu mie kajamba nani watu msingejali na mngewahi siti kusikiza majibu
Sasa Ina maana wewe na akili zako timamu ungemjibu MTU Kama huyo? Majibu yako yanamsaidia nini sasa yeye? MTU Kama huyo unamdharau tu na kumuacha ajichagulie majibu Kati ya hayo aloyawaza. Btw kwa umri wake ameshaanza kurudia utoto ndo sababu anawaza Kama mtoto pia
 
Huyu hawa watu inaelekea wanafahamiana sana kaamuwa achemshe akili za watu kama hawa wanakubalika kiasi gani
Mi sina MTU ninaemjua aliekiri kulala na baba yake mzazi. Na nikimjua sitaki mazoea nae hashindwi kulala hata na mwanae
 
Back
Top Bottom